Harusi ya kimasikini

Sio ndoa, maana watu wa kwa mchungaji wengi wanaoana wakiwa na miaka flani flani sasa hao mbona ni madogo kabisa!
 
Hapana UMEKOSEA. Hio ni harusi. NDOA NI KITANDANI ndio maana hata TENDO HUITWA LA NDOA SIO HARUSI. Tunachokiona kwenye picha ni harusi sio ndoa. Ndoa ni wao wawili.
 

most of the time ndoa zinadumu hadi kifo kuwatenganisha lakini harusi mama weeee zavunjika asubuhi na jioni, kuna jamaa yangu alifanya harusi ya million 30 baada ya mwezi mmoja sherehe ya ndoa yao ikavunjika
 
Hapana UMEKOSEA. Hio ni harusi. NDOA NI KITANDANI ndio maana hata TENDO HUITWA LA NDOA SIO HARUSI. Tunachokiona kwenye picha ni harusi sio ndoa. Ndoa ni wao wawili.
Kile kitendo cha kitandani kinaitwa kitendo cha ndoa kwasababu kinatakiwa kufanywa na watu waliopo kwenye ndoa kama hanjafunga ndoa hilo tendo ni ngono kama ngono nyingine(uzinzi).ndoa ni pale mnapokula kiapo cha kutunzana mpaka mwisho wa maisha na kudumu kwenye shida na raha na kisha mnavishana Pete(haya yote yanafanyika kanisani).lakini baada ya kufunga ndoa hapo inafuata harusi ingawa sio lazima kufanya harusi ila ni uamuzi tu wa wahusika,harusi ni shamrashamra,sherehe na Yale mambwembwe kibao yanayofanywa baada ya ndoa wengi hukodi ukumbi na kualika watu kujumuika nao pamoja,na kama umeshawahi kupokea kadi ya mchango basi huwa wanaomba mchango wa harusi na si mchango wa ndoa,ndoa hailipiwi ila inafungwa bure tu.kama harusi ingekuwa inafungwa basi hata sherehe za happy birthday nazo zingekuwa zinafungwa.Mkuu hujawahi sikia watu wakiachana huwa wanasema ndoa imevunjika ila huwezi kusikia harusi imevunjika kwasababu harusi ni kitendo cha muda tu ila ndoa inaanza pale unapoifunga kanisani na inaisha siku utakayozikwa.au mtakapo achana kwa maamuzi maalumu.

NB:HARUSI HAIFUNGWI ILA NDOA NDIO INAYOFUNGWA,NA MUNGU ANAITAMBUA NDOA HAITAMBUI HARUSI,HARUSI SIO LAZIMA ILA NI MAAMUZI YA WAHUSIKA TU.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Duh, chura zero, mguu wa bia hamna, mdomo wa busu hamna! huyo demu hapana.
 
Nikuulize swali. Ikiwa hata uwezo wa kununua shati kijana hana, huyo mtoto wa watu kesho kutwa akianza kutema mate hovyo utamlisha nini?? Maanake hapo kijana amepewa cheti cha kula kitu live bila chenga nanyi mwajua matokeo ya huo mchezo. Atampa nini huyo mtoto wa watu?? Sipingi kufunga ndoa lakini iwe wakati umesha jizatiti kwa matokeo.
 
Huyo pastor atakuwa ni Yanga na Maharusi ni simba..

Nimewaza tu lakini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…