Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,168
- 28,819
Kweli kabisa...
Kuanzia leo sitachangia harusi ya kilokole zaidi ya buku ishirini.
Siwezi changia laki halafu niishie kupewa juisi ya azam na soda,..huu ni wizi mtupu!
Huwa sichangii harusi.
mkuu hizo Azam si ni 3000 wakati bia buku 2500 ila mimi nilidhani mchango ni hiari ya mtu kuchangia hapo kama kuna kiwango sio mchango bali ni kulipia entrance fee jambo ambalo linaondoa maana ya harusi na kujumuika kwenye sherehe mimi naona sasa ifike wakati wedding iwe bottle party kila mtu kuja na kinywaji chake na kununua msosi wake anaotaka