Hula nyama mbichi.KIPENDA ROHO
Nibebe styleSasa hapo kukumbatiana vipi?
Huu msemo nauskia Sana, naomba udadavuzi wake mkuu...The end justifies the means.
.
Mwisho wa siku kinachoangaliwa ni matokeo bila kujali chanzoHuu msemo nauskia Sana, naomba udadavuzi wake mkuu...
Anhaa shukrani Sana mkuu.Mwisho wa siku kinachoangaliwa ni matokeo bila kujali chanzo
Kwa mfano hapo vyovyote iwavyo mwisho wa siku ni ndoa na watu wameoana tena kwa karamu kubwa
Na mimi nilikuwa najiuliza kama wewe!Sasa hapo kukumbatiana vipi?
Unahisi hawajawahi kukumbatianaSasa hapo kukumbatiana vipi?