Miezi sita kurudi nyuma, siku za weekend, Dsm city center tulikua hatukosi kushuhudia misafara ya harusi yenye kuonyesha mbwembwe na thamani ya fedha kuandaa harusi yenyewe.
Najiuliza ina maana hii kasi ya awamu ya tano hela zimekimbia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.