Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

Aiseee babaangu nasikia man u ya rombo inataka kumsajili
 
kisoka kiroba kimoja kinakubalika kupunguza mafuta tumboni maana mpira uko tumboni, akizidisha ndio noma........
 
alafu ndo wanajifananisha na wakina xavi! hahaha....! huu sio mpira hapa bongo, ila hatuna jinsi tuendelee tu na ushabiki, jaribu kuvuta picha mtu kama roony anafanya hayo mbele ya fegurson! what next?
 
Back
Top Bottom