bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 467
Eti ni harufu ya kitu gani ambayo huipendi kufa, yani uko radhi kufanya chochote ili hio harufu ikuepuke....worst smell ever wazungu wana sema.... harufu mbaaya kupindukia, guys emu tucheke kidogo.... stress zitu kondeshe hata vicheko tusi nawili... haya kazi kwenu.