Khaaa π«’Basi basi bimkubwa, nimeacha utani. π
Sasa mmoja akiogea tusabuni twa guest yule mwingine haogi? Au yeye anakuwa alibeba na sabuni yake?Hapana, wanaenda wawili. π
Em tudeal kwanza na hiyo namna
HapanaππSasa Depal, mbona unanibana sana! π
Lete Maneno......Kuna siku nili suffocate kwenye daladalaπ
Jhanaba ndio nini?
πππββοΈMzee anazeeka na ujuvi wa kila jambo!π€£
Yaan hela ya kula kwa 2 weeks
Ninunue perfume 50k
π
Ushauri pandeni usari binafsi
Mkija huku chini sijui kwenye daladala mvumilie hali hazifanani
Hii code nina uhakika wengi hawajaelewaLeo nimekutana na sura nyingi ngeni kwenye daladala
Harufu za hapa na paleπLete Maneno......
Kumetokea Nini Apostle
Hiyo imejaa status za whatsapp sidhani kama kuna mtu haielewiπ€£Hii code nina uhakika wengi hawajaelewa
Sasa mmoja akiogea tusabuni twa guest yule mwingine haogi? Au yeye anakuwa alibeba na sabuni yake?
Maskini una tushauri maskin wenzio tununue perfume walauπ kuanzia 50kSasa mtu kama mie masikini, usafiri binafsi kwangu mtihani. π
Napanda tuu hizi hizi daladala.
Hapanaππ
Nipo kujifunza.. kwamba kumbe after tendo la urutubishaji unatakiwa uanze kuoga mgongo au vp
Msaada unaweza kutueleweshaHii code nina uhakika wengi hawajaelewa
π€£ π€£Mzee wa miaka 56 hujui haya?π€·π½ββοΈ
Hujambo lakini mrembo?Mzee wa miaka 56 hujui haya?π€·π½ββοΈ
Mbona bado tuko sawa.. niliuliza ina uogaji special tofauti na huu huu? Au ukimaliza unatakiwa uioshe na jik ππSio kuanza kitu flani, mimi hoja yangu ni kwamba; watu wengi (sio wote), Me na Ke hawajui kuoga janaba.
Zingatia; sio wote. π
Na harufu za kujamba pia zinanuka sanaPanda usafiri wa wengi baada ya kazi utakutana na harufu za kila aina.. Na zinakera hasa.. Na zikiwa combined unaweza kupata kinguzumkuti cha kiafya
. Midomo inayonuka
. Vikwapa
.Janabha
. Pad za mp
. Boxer zilizorudiwa kuvaliwa bila kufuliwa
. Vifuniko vya asali vichafu
. Jasho sehemu za pachupachu
. Nywele chafu (kwa majina yake yote)
Nknk
Kwa asubuhi hii sio mbaya sana zaidi ya harufu za vipodozi vyenye kemikali, manukato ya bei ya jioni na marashi yaliyozidishwa kipimo
Sasa combination hii ikutane na ile ya jioniπππΏ