Wakuu nakosa amani kila ninaposikia harufu ya wali uliopikwa na unanukia sana sehemu ambapo hakuna kabisa makazi ya watu, au kwa ujumla sehemu ambayo hutegemei kupata hiyo harufu. Nasikia ni dalili za kuwepo nyoka lakini natafuta huwa siwaoni.
Naomba tusaidiane kwa hili isije ikawa mara nyingine joka kweli linafanyia mahesabu.
Naomba tusaidiane kwa hili isije ikawa mara nyingine joka kweli linafanyia mahesabu.