Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Nov 12, 2017 #1 Hivi hawa wadada Ambao hawana pete kwenye vidole vyao lakin wameweka puani ndo tuseme wanavuta harufu ya ndoa au?????* *Mimi nauliza tu..*
Hivi hawa wadada Ambao hawana pete kwenye vidole vyao lakin wameweka puani ndo tuseme wanavuta harufu ya ndoa au?????* *Mimi nauliza tu..*
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Sep 7, 2017 776 1,135 Nov 13, 2017 #2 Itakuwa ndoa imegeuka upepo hivyo wanaivuta kwa nguvu