KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
Habari za asb wadau,
Kuna halufu kali sana ktk maeneo ya hospital ya muhimbili hususan maeneo ya jiran na wodi ya wazazi. kuna taarifa kwamba mifuko ya uzazi ya kina mama ilitupwa eneo jiran. Kwamba mtambo/machine ya kuchoma hizo taka ni mbovu kwa muda mrefu sasa. ombi kwa uongozi wa hospital kuifanyia kazi tatizo hilo wagonjwa hawajalala