Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

huwa namkubari sana harris ktk utangazaji.ni tokea enzi nzile yupo praise power redio ya mama rwakatare.tatizo ni zile tuhuma anazo husishwa nazo.ni kama za yule mtangazaji maarufu nairobi-kenya.uzuri yeye kashajilipua.sisemi mengi msije mkaniita mbaguzi.
 
Kwa hiyo kwa vijana wasioenda kanisani hapo ndipo inakuwa kanisani kwao ...!?
 
Du! Huyu kapiga siyo yule amewahi kuwa mfanyakazi wa mama rwakatare st.mary's mbezi akawa na kashifa ya ush..o..g.a. Leo ni mchungaji,naomba aache kumkufuru mungu
 
Kwahyo hiyo club itakua inapiga nyimbo gan kwaya au za kidunia? Kaziii kweli kweliii
 
Du! Huyu kapiga siyo yule amewahi kuwa mfanyakazi wa mama rwakatare st.mary's mbezi akawa na kashifa ya ush..o..g.a. Leo ni mchungaji,naomba aache kumkufuru mungu

Kila penye mzoga ndipo wanappokusanyika Tai !(Yesu)
 
ngumu haiezekani hata siku moja kwa maana yake........nadhani hii ni ya kwanza afrika sijui bara jingine
 
Du! Huyu kapiga siyo yule amewahi kuwa mfanyakazi wa mama rwakatare st.mary's mbezi akawa na kashifa ya ush..o..g.a. Leo ni mchungaji,naomba aache kumkufuru mungu

Usimshuhudie mwenzako uongo
 
Kuna vitu kuvielewa hadi uwe umelewa chakari, sijui hata kama anajisikiliza na kujielewa.
 
Issue hapa sikushuhudia uongo,hili Nina uhakika miakwamia, amewahi kuwa na basha lake la kipemba alikuwa mwalimu alikwenda st. Marys kufanya kazi maalumu ya necta.mama rwakatare akaamua kumuhamisha na kumpeleka st Mays mbezi kuwa patroni WA mabweni ya wavulana, huko akawa anawapanga wanafunzi wakiume WA fm 3,4 na A-Level na kumkameruni,mama ewakare akamuita akamwambia mwa angu tatizo bikini,akampeleka kanisani aombele. Bola Dhaka wakati huo alikuwa ANSI.bia kwaya moja inaitwa joy singers. Huyu bwana ndiye yy. Kama mna.faha.u muulize anarafiki take yupo USA. BADO NAMWOMBA KAMA NDIYEYEYE ASIMJARIBU MUNGU WAKE LABDA KAMA KASHA TUBU NA KUOKOKA SAWA NA MPONGEZA
 
Back
Top Bottom