Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

[h=1]Kwa hekalu hili la Mch. Lwakatare, kwanini tusianze kuhoji utajiri wa "wamiliki wa makanisa?[/h]
# 2

Imeandaliwa na Jukwaa Huru leo tareheAugust 30, 2012.

12
moja1.jpg
Jumba la kifahari la Mama Rwakatare, kama linavyoonekana kwa mbele

Mchungaji, Dokta na Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(Viti Maalum), Getrude Lwakatare, leo hii amepamba safu sa blog mbalimbali kutokana na kuzindua jumba lake la kifahari lililoko pembezoni mwa bahari ya Hindi, huko jijini Dar es salaam, ambalo pamoja na vikorokoro vingine, lina sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi. Ndugu yangu na mwanahabari mwenzangu, Mubelwa Bandio, kupitia kibaraza chake cha FB, alipoona picha zenye kuambatana na tukio hili, akalazimika kuweka wazi hisia zake akiandika:
"Japokuwa Mimi ni mKristo lakini sijui neno linasemaje kuhusu uwiano wa mali za Kiongozi wa dini vs waumini. Nyumba ya Mhe. Mch. Getrude Lwakatare", katika status ambayo imevuta hisia za watu kibao (bonyeza hapa kusoma maoni yao)"​
Mchungaji Lwakatare, anajulikana sana kutokana na huduma zake za kiroho anazozitoa kwa waumini wa kanisa lake, anajulikana wazi pia kutokana na mradi wake wa shule za St. Marry's, zilizotapakaa kila kona nchini, na anajulikana pia kuwa ni mmoja wa waheshimiwa katika Bunge laJamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutokana na kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano, kushikilia nafasi hiyo. Je, jumba hili, ni matokeo ya sadaka anazokusanya kupitia kanisa lake? Na kama jibu ni ndio, je, haya ndio aina ya maisha anayotakiwa kuishi kiongozi wa dini ambaye anaongoza maisha ya waamini ambao wengi wao hata milo ya uhakika au kipato cha uhakika kimewapiga chenga? Kama jibu ni hapana, tujiulize swali la pili: Je, hekalu hili na aina hii ya maisha, inatokana na mapato yatokanayo na shule zake, ambazo imekuwa ikidaiwa kuwa zinapokea misaada mingi toka nje ya nchi kwa kisingizio cha kuwa zinasomesha watoto yatima, ilhali ada zake ni aibu hata kuzitaja, huku pia project hiyo ikitajwa kuwa miongoni mwa zenye kudaiwa mamilioni ya fedha na TANESCO? Kama hayo yote siyo, je, limetokana na posho za Bunge, au kuna mradi gani ambao mama huyu anaufanya zaidi ya hii yenye kuonekana na ambayo pia inazua mashaka miongoni mwetu? Kama hukubahatika kukutana na picha hizo, hapa ni mkusanyiko wake kama ambavyo Jukwaa Huru imekutana nazo kutoka VIJIMAMBO BLOG, ambako imeelezwa kuwa chanzo chake ni blogi ya Ruma Afrika (linki hii ni kama ina matatizo)
kabati-la-vyombo.jpg
Hili ni Kabati ambalo lipo ndani ya hekalu hilo
dressing-table.jpg
Hii ni meza ya kujitizamia wakati wa kuvaa (dressing table)
sofa.jpg
Hapa ni sehemu ya fenicha za thamani zinazopamba jumba hilo
ofosi-ya-nyumbani.jpg
Hii ni ofisi yake ya nyumbani kwake
kitanda.jpg
Na hiki, ndio kitanda cha mama mchungaji.
 
Aache kutuzuga bwana Harris; club ni mahali pa kujiachia tu full starehe.

Asidanganye eti atadhibiti mavazi, kwani lengo la kuanzisha club hiyo ni nini? Si anatafuta pesa. Sasa kama wateja wote wakija na style yao ya mavazi atatimua wote!!

Mie simo kabisa, mchungaji na club wapi na wapi???

Mchungaji Harris Kapiga unstuchanganya kabisa!!!!

Ni Kweli umehusisha roho wa Mungu akakushauri na kukuelekeza kuanzisha club!!!!

If your objectives are not for profit making, it is true that you can control everything.

Me kwa upande wangu sijaona hata tofauti kwani kama ni swala la kucheza hata kanisani wanacheza tena sana tu,

kama ni swala la usiku kila siku kuna mikesha ya usiku na watu wanasifu na kuabudu usiku kucha,

naona tofauti ni kuitwa Club lakini zipo hata Club za madaktari, wacheza mpira, wafanya biashara etc.
 
Aisee hata Mimi najaribu kweli lakini wapi ingawa ujumbe unafika
 
Sidhani kama ni logic kusema "kuna vijana hawapatikani kanisani...." ni kweli vijana hao hupatikana ktk kumbi za starehe, but apart frm music kunavitu vingine vinavyowavutia!
Sasa kama yeye anasema hakutakuwa na pombe, mavazi yatazingatiwa na blaa blaa nyengine, hapo ni sawa zeeeeeeero! Ee hao atakaowapata huko ni wale tu wanaohudhuria kanisani!!!!!
 
Hii Ni kali kuliko nilizowahi kusikia...Nimecheka sana..
 
Giza na nuru aziendani hata kidogo analijua hili kamaa amuamini ipeni muda na mbaya anapoihusisha namaono ya mungu akuna nuru inayokaa gizani kama àaamini

akamuulze mama rwakatare


hahahaha appostleeeeeeeee harissss acheni masihara watu wa mungi
 
Mambo mengine mnaweza kumfanya yesu ata kama amepanga kurudi dec 14 akaja feb jamani na mwisho hata wale wangebahatika kuona kutubu agust wakakumbwa na dhoruba
 
Back
Top Bottom