Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Contradictions umezijenga wewe. In layman point of view how come dini yenye contradictions iwe the fastest growing on earth. Hukuelewa ulichokisoma ulipaswa kuuliza wanaojua. Upeo wako bado duni kwenye masuala ya dini.[ow/QUOTE]

Upeo wangu mkubwa sana waislamu danganyeni wasiojua nimeisoma Koran na uislamu hauna deal kugrow faster ni mambo mawili kwanza sehemu ambayo ni Islam pre-dominant hamruhusu watu kujua dini zingine mnazuia na muislamu akibadili kuwa kristo anauawa wakati mkristo kuwa muislamu kawaida angalia ISIS wanavyofanya huko Iraq kuwalazimisha Yazidi kusilimu hivyo ndivyo Islam ilienea kwa kasi kwa ncha ya upanga wakati wa Ottoman Empire kwa kuforce watu kuwa waislamu pili walio wa Mungu ni wachache wa shetani ni wengi piga hesabu mwenyewe utapata jibu
 
..............Galatia 3:13 inasema mungu wenu kafanywa laana ! sasa mfuasi wa laana utaishia laana tu ! Desert Storm

[h=3]Galatians 3:13 (KJ21) | In Context | Whole Chapter[/h]
[SUP]13 [/SUP]Christ hath redeemed us from the curse of the law, being made a curse for us (for it is written, “Cursed is every one who hangeth on a tree”),

Hujui chochote maana muongo kama ambavyo dini yenu huruhusu mdanganye ili kushawishi watu kujiunga nayo umeona wagalatia iko tofauti kabisa na nukuu yako yakiongo pia siwezi pata laana yeyote maana Jesus is greater than Mohammad
 
Huku uswaz Kwe2 kuna mchungaji kafungua library inapiga 2 nyimbo za ukiwa mjanja kuchapiwa ni Siri ya ndani ukitaka porno pia zipo
 
Galatians 3:13 (KJ21) | In Context | Whole Chapter

[SUP]13 [/SUP]Christ hath redeemed us from the curse of the law, being made a curse for us (for it is written, "Cursed is every one who hangeth on a tree"),

Hujui chochote maana muongo kama ambavyo dini yenu huruhusu mdanganye ili kushawishi watu kujiunga nayo umeona wagalatia iko tofauti kabisa na nukuu yako yakiongo pia siwezi pata laana yeyote maana Jesus is greater than Mohammad

.................aliye fanywa 'laana kwa ajili yenu' ndiyo mbora juu ya Muhammad SAW !?..........nani hufanya/hutoa laana !?
Kwa hiyo amefanywa laana na mtoa laana kwa ajili yenu !...........basi ni nani mwenye kulaani huyoo ambaye amemfanya laana !?
Mnapata muda wa kufikiri kwa vichwa vyenu !??
:A S 109: Desert Storm
 
Last edited by a moderator:

Mfikirie ninyi ambao mnaamini mfumu Mohammad ni mkuu kuliko Issa aliye hai aliyezaliwa kwa manii mkubwa kuliko ambaye hakutungwa mimba kwa uume, muoa wanawake wengi akiwamo Aisha miaka 9 na mke wa mwana wa kambo ni mkuu kuliko ambaye kwake kuoa si muhimu yaani Issa, maana ni sawa na divine kwasababu hata Muumba hana mke, mpenda wanawake na kujilimbikizia k kibao zaidi ya nane huku akiacha wafuasi akiwaambia wawe na wa nne kutokana na kiongozi wenu hata wafuasi huoa na kutosa kama ganda la chungwa hata bila kosa ili mradi mme anataka k mpya Issa aliwaambia wafuasi wake hakuna taraka mpaka awe kazini tu na ukioa ni mmoja zaidi ya hapo ni dhambi ila wenu sababu ni kiwembe alijirundikia nyie akawapa kiduchu wafuasi
 
Mbona hii taarifa haisemi usiku huwa wanafanya nini hao wanaoingia huko? Bado haieleweki wanafanya kitu gani. Kama ni maombi basi sio club. Ni mkesha wa kusifu na kuabudu au maombi? Ni kitu gani hicho? Huyu kachanganyikiwa naona. Kwanza tumesikia habari nyingi mbaya juu yake sijui kama ni za kweli!!! Hao kondoo wake wako hatarini sana.
Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku' Dar

​
Imezoeleka kuwa klabu za usiku zimekuwa zikitumika kwa mambo ya starehe huku viongozi wa dini wakizichukulia kama maeneo hatari kwa waumini wao.

Tofauti na maeneo mengine ya starehe, klabu za usiku huwa na kumbi za muziki zenye taa za kumweka za rangi mbalimbali huku giza likitawala. Wakati huo huo muziku hupigwa kwa sauti ya juu.

Mbali na muziki, klabu hizo husheheni vileo vya kila aina huku watu wakiruhusiwa kuingia na mavazi yoyote wakiwemo wale wanaopenda kuvaa nuzu uchi.

Hata hivyo kwa watumishi wengine wa Mungu, klabu sasa ndiyo pamekuwa mahali pa kuvunia waumini.

Mchungaji Harris Kapiga wa kanisa la Nchi ya Ahadi lililoko Sinza Kamanyola, ameamua kuanzisha klabu ya usiku kama zilivyo klabu nyingine za starehe.

Klabu hiyo iliyozinduliwa hivi karibuni maeneo ya Mbezi Tangibovu katika hoteli inayoitwa Mak Hotel, imeonekana kuvutia vijana wengi ambao walionekana wakifurahia mandhari na muziki uliokuwa ukipigwa ndani yake.

Tofauti na klabu nyinginezo, Mchungaji Kapiga anasema kutakuwa na udhibiti wa vishawishi vya dhambi ikiwa pamoja na ulevi, mavazi yasiyo na staha na aina ya muziki unaopigwa.
​

Anasema tangu alipoanzisha wazo hilo, watu wengi hasa wachungaji walikuwa na wasiwasi kuhusu vishawishi hivyo.

"Tangu nimeanza wazo langu hili nimekumbana na vikwazo vingi. Imeshtua watu wengi, japo wengi wamelikubali na kuna baadhi hawakubali ila hawawezi kusema wazi," anasema na kuongeza:

"Wengine wanajiuliza nitawezaje kudhibiti vipi hali ya klabu kwa sababu maeneo haya kunakuwa na anasa, ulevi na masuala ya mavazi watu watavaaje, na mimi nawajibu."

"Mtu akija hapa na mavazi mabaya hataingia, tutakuwa makini sana katika hili. Mtu avae nguo yenye staha, siyo mtu aje nusu uchi, tutamtoa kwa nia njema tu. Hata mtu aliyelewa tutamtoa labda tusimgundue."

Kwa nini ameanzisha klabu ya usiku? Mchungaji Kapiga anasema alianza kupata wazo hilo siku alipokuwa kwenye sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Clouds Media ambako pia ameajiriwa kama mtangazaji.
"Kilichonifanya nianzishe wazo hili wakati tulipokuwa tukiadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Clouds Media pale Billicanas club. Nilikwenda pale kama mfanyakazi wao. Kulikuwa na vijana wengi mno siku hiyo," anasema na kuongeza:

"Kila mtu alikuwa akiitwa mbele na kusema chochote. Mimi nilipoitwa nikaanza kuimba ‘wewe ni Alfa na Omega…." Watu wakashangilia sana. Ile ilitia moyo kwamba kumbe hata nyimbo hizi zinakubalika club? Nikasema kumbe inawezekana? Ndiyo nikaona nianzishe kitu kama hiki."

Anaongeza kuwa analenga kuwapata vijana ambao hawapatikani makanisani wala kwenye mikutano ya injili bali kwenye kumbi za starehe tu.

"Kuna watu wasiopatikana kanisani, kuna kizazi cha watu ambao hatuwapati. Hapa siyo kwamba tuna cheza tu muziki, na tutafanya maombezi kwa sababu tunafanya kiroho zaidi," anasema na kuongeza:

"Hata wakati mtandao wa ‘Facebook' unaanza baadhi ya watu waliookoka waliikataa wakisema ni mapepo na sehemu ya kutongozana tu. Lakini kumbe ni mtandao unaoweza kupata marafiki wengi unaoweza kushiriki nao mambo mengi."
Source: Mwananchi.

Mfikirie ninyi ambao
mnaamini mfumu Mohammad ni mkuu kuliko Issa aliye hai aliyezaliwa kwa
manii mkubwa kuliko ambaye hakutungwa mimba kwa uume, muoa wanawake
wengi akiwamo Aisha miaka 9 na mke wa mwana wa kambo ni mkuu kuliko
ambaye kwake kuoa si muhimu yaani Issa, maana ni sawa na divine
kwasababu hata Muumba hana mke, mpenda wanawake na kujilimbikizia k
kibao zaidi ya nane hukukiacha wafuasi akiwaambia wawe na wa nne
kutokana na kiongozi wenu hata wafuasi huoa na kutosa kama ganda la
chungwa hata bila kosa ili mradi mme anataka k mpya Issa aliwaambia
wafuasi wake hakuna taraka mpaka awe kazini tu na ukioa ni mmoja zaidi
ya hapo ni dhambi ila wenu sababu ni kiwembe alijirundikia nyie akawapa
kiduchu wafuasi

Yesu ni Mungu/muumba ambaye hakuwa na mke/hakuowa?
 
Yesu hakuoa tofauti na Mohammad alijilimbikizia wanawake kibao na mafundisho ya koran kuwa Issa atarudi na kuja kuoa kisha aombe msamaha kuwa aliyumbisha wakristo maana walitakiwa kufuata uislamu ni ndoto za arinacha na uongo uliokubuhu wa kujidanganya mchana kweupe hata haumake sense.

It should be known kwa waislamu Issa ni divine hakutenda dhambi yeyote wala kuoa kuondoa haja ya ashiki ya mapenzi kama wanadamu wa kawaida Adam, Ibrahim, Nuhu, Mussa na Mohammad maana is above human being maana pia alifufua wafu yaani alirudisha uhai kumbuka muweka uhai ni Mungu pekee.

Yesu haji kuomba msamaha wala kuoa bali anakuja kuhukumu kila mmoja tokana na matendo yake including Mohammad mwenyewe atahukumiwa tokana na matendo yake na mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa hayo mafundisho ya wanawake 72'endeleeni nayo wenyewe maana mmejengwa kwenye pachuchi zaidi kiongozi wenu alioa wanawake 12 akaagiza wafuasi waoe 4 hahahaha mambo ya pachuchi la shida kweli hapa na mafundisho yenu ya kusema biblia imebadilishwa dudes hakuna tone limebadilishwa sema kuna tafsri mbalimbali lakini orginal bible haina Mohammad na haitakuwa na Mohammad maana ni fake kwasababu.manabii wote ni wayahudi halafu atokeze mwarabu nabii kichekesho endeleeni na dini yenu na muwe na amani ila hamuwaambii wakristo huo ujinga

Yesu ni divine alikuwepo kabla ya dunia kuumbwa na kabla ya Adam anathibitisha maneno haya mwenyewe kwa kusema I and Father are one John 10:30, pia kwa kusema Verily verily I say to you before Abraham was born I'm yaani amini amini nawaambia kabla ya Adam hajazaliwa mie nilikuwepo John 8:58, pia kwa kusema Now father glorify me with the glory I had with you before the world was John 17:15
 
Kuna aliyewahi kufa akarudi akatuambia aliyoyakuta huko?
 
Teh teh teh aisee sijui kwanini wachungaji wengi wanakuwa maSHOGA,,,daah!! Hii dini yetu hii

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Bora Mungu aliweka Kupenda kitu na kutopenda kitu ingekuwa ni lazima upende mtu au kitu ningekuwa na wakati mgumu sana.
 
​
Imezoeleka kuwa klabu za usiku zimekuwa zikitumika kwa mambo ya starehe huku viongozi wa dini wakizichukulia kama maeneo hatari kwa waumini wao.

Tofauti na maeneo mengine ya starehe, klabu za usiku huwa na kumbi za muziki zenye taa za kumweka za rangi mbalimbali huku giza likitawala. Wakati huo huo muziku hupigwa kwa sauti ya juu.

Mbali na muziki, klabu hizo husheheni vileo vya kila aina huku watu wakiruhusiwa kuingia na mavazi yoyote wakiwemo wale wanaopenda kuvaa nuzu uchi.

Hata hivyo kwa watumishi wengine wa Mungu, klabu sasa ndiyo pamekuwa mahali pa kuvunia waumini.

Mchungaji Harris Kapiga wa kanisa la Nchi ya Ahadi lililoko Sinza Kamanyola, ameamua kuanzisha klabu ya usiku kama zilivyo klabu nyingine za starehe.

Klabu hiyo iliyozinduliwa hivi karibuni maeneo ya Mbezi Tangibovu katika hoteli inayoitwa Mak Hotel, imeonekana kuvutia vijana wengi ambao walionekana wakifurahia mandhari na muziki uliokuwa ukipigwa ndani yake.

Tofauti na klabu nyinginezo, Mchungaji Kapiga anasema kutakuwa na udhibiti wa vishawishi vya dhambi ikiwa pamoja na ulevi, mavazi yasiyo na staha na aina ya muziki unaopigwa.
​

Anasema tangu alipoanzisha wazo hilo, watu wengi hasa wachungaji walikuwa na wasiwasi kuhusu vishawishi hivyo.

"Tangu nimeanza wazo langu hili nimekumbana na vikwazo vingi. Imeshtua watu wengi, japo wengi wamelikubali na kuna baadhi hawakubali ila hawawezi kusema wazi," anasema na kuongeza:

"Wengine wanajiuliza nitawezaje kudhibiti vipi hali ya klabu kwa sababu maeneo haya kunakuwa na anasa, ulevi na masuala ya mavazi watu watavaaje, na mimi nawajibu."

"Mtu akija hapa na mavazi mabaya hataingia, tutakuwa makini sana katika hili. Mtu avae nguo yenye staha, siyo mtu aje nusu uchi, tutamtoa kwa nia njema tu. Hata mtu aliyelewa tutamtoa labda tusimgundue."

Kwa nini ameanzisha klabu ya usiku? Mchungaji Kapiga anasema alianza kupata wazo hilo siku alipokuwa kwenye sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Clouds Media ambako pia ameajiriwa kama mtangazaji.
"Kilichonifanya nianzishe wazo hili wakati tulipokuwa tukiadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Clouds Media pale Billicanas club. Nilikwenda pale kama mfanyakazi wao. Kulikuwa na vijana wengi mno siku hiyo," anasema na kuongeza:

"Kila mtu alikuwa akiitwa mbele na kusema chochote. Mimi nilipoitwa nikaanza kuimba ‘wewe ni Alfa na Omega…." Watu wakashangilia sana. Ile ilitia moyo kwamba kumbe hata nyimbo hizi zinakubalika club? Nikasema kumbe inawezekana? Ndiyo nikaona nianzishe kitu kama hiki."

Anaongeza kuwa analenga kuwapata vijana ambao hawapatikani makanisani wala kwenye mikutano ya injili bali kwenye kumbi za starehe tu.

"Kuna watu wasiopatikana kanisani, kuna kizazi cha watu ambao hatuwapati. Hapa siyo kwamba tuna cheza tu muziki, na tutafanya maombezi kwa sababu tunafanya kiroho zaidi," anasema na kuongeza:

"Hata wakati mtandao wa ‘Facebook' unaanza baadhi ya watu waliookoka waliikataa wakisema ni mapepo na sehemu ya kutongozana tu. Lakini kumbe ni mtandao unaoweza kupata marafiki wengi unaoweza kushiriki nao mambo mengi."

CHANZO: Mwananchi
Yulusifa. Hujawahi shindwa that is is the end. Hizo ni moja ya new agenda. From kuzimu
 
Back
Top Bottom