Harmorapa kuzindua website yake ya kuuza mziki

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,661
21,635
Kiboko wa mabishoo wote mjini amedai yuko kwenye hatua za mwisho kuzindua website yake ambayo itakuwa inauza kazi zake za sanaa, hayo yote amesema jana alipokuwa akifanya mazungumzo na DSM online.
Harmorapa alisema "yeah namalizia vitu vya mwisho kabisa, ngoma zangu zote zitakuwa zinapatikana huko pia nitawasaidia wasanii wakubwa kuuza ngoma zao online"
Amedai website itakuwa inaitwa harmosukari. Com .
Kila la kheri bishoo lao
Source DSM online.
 
Copy and paste kisa tu chibu kazindua ya kwake basi kila MTU utasikia ana website yake hapa bongo ya kuuza mziki Chibu akihamishia kurekodia Mf
.video zake China wote wataenda huko yaan mpaka aibu Mimi ningengoja ipoe kidogo..
 
Aisee,nasubiri kwa hamu nianze kupakua manyimbo ya ukweli kutoka katika kipaji cha ukweli
Hata ikiwa elfu kumi napakua tu.
 
Harmorapa alisema "yeah namalizia vitu vya mwisho kabisa, ngoma zangu zote zitakuwa zinapatikana huko pia nitawasaidia wasanii wakubwa kuuza ngoma zao online"

Hapo bila shaka alisema "yeah namalithia vithu vyangu vya mwitho kabitha, ngoma thangu thote thitakuwa thinapatikana huko pia nitawathaidia wathanii wakubwa kuutha ngoma thao online"
 
Mbona Ali Kiba anayo website ya kuuza muziki kabla ya Diamond... Wait, Diamond kumbe kamuiga Ali Kiba!
 
Huyu p fanky naona siku hizi ameishia kabisa

Produser mkubwa kama majani anaruhusu kurikodi nyimbo za matusi kwenye studio yake no aibu mkuu
YY, ndio angelikua wa kwanza kukemea, maswala ya kashfa kwenye nyimbo kumbe, hamnazo kweli
 
Back
Top Bottom