Msemaji_
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 611
- 840
pia kuna whizrapa huku morogoro
harmolapa ndy anatusua ivyo na abadir jina ng'oo maana kuna wizkid na wizkhalifa
harmolapa ndy anatusua ivyo na abadir jina ng'oo maana kuna wizkid na wizkhalifa
Kwani mondi anaimbaga kwa lugha gani kollabo na artist wa nje ?? Labda tuanzie hapo mkuuItaimbwa kwa lugha gani
Nadhani kesho madame ataitisha press conference kutengua kauli yake ya insta kuhusu harmorapa sukari ya warembo😀😀😀Dar es Salaam. Mwanamuziki Kriticos kutoka Ubelgiji amewasili nchini kwa ajili ya kutengeneza wimbo wa pamoja na mwanamuziki Harmorapa.
Kriticos ambaye anaimba miondoko ya kufokafoka, (rap) amesema ameupenda uimbaji wa Harmorapa na ndiyo sababu ya kuamua kufanya naye kazi.
Aliyazungumza hayo muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo mchana.
Kwa upande wake Harmorapa anayetamba na wimbo wa Kiboko ya Mabishoo alisema ujio huo ni heshima kubwa kwake.
Harmorapa amewataka mashabiki wake kukaa tayari kupokea ngoma hiyo itakayotengenezwa na mtayarishaji wa muziki, P-Funk Majani.
![]()
My Take.
Harmorapa ndiyo mwanamziku bora kabisa kwa kipindi hiki na ataipeperesha vema sana bendera ya nchi yetu kimataifa. Tumuombee tu.
Source: Mwananchi.
Harmorappa ni msanii tayar sasa usichokiamini nini mazeeSiamini ngoja nisome upya yani mtu apande ndege toka uberigiji to tz kufanya tu colabo na harmorapa




Hasa management,naona harmorapa kinachomfanya kuwepo hapo alipo ni management yake+media
Ipo video,ameongea na media EapotImebidi niende kumuangalia huyo kriticos youtube duuu