spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Mabaharia wataunda kicoba walinunue walile mtungo litoroke likahadithie uko ulaya
Hawa uchinani ni million1-3 tu! Achaneni na hao wa U.S.A wako un-neccessarily overpriced
Baharia mwandamizi 🤣🤣🤣 nakubali sana kaka. Nyuklia wabakie nazo maabara au sio!Aisee watengeneze mengi tu. halafu shirika la msaada lisitishe kutoa kondomu za bure litupigie pande watuletee kama haya walau matatu tu tutawashukuru sana.
Hii ndio technology tunayoitaka, sio wanatumia matilion ya pesa halafu wanatutengenezea manuclear ambayo yanakuja kutuua sisi then wanakuja kutuambia tencnolojia imekua
Hahah bado unao mkuu?Niliuagiza mmoja kutoka China, noma.
Midoli mitamu jamani
Hio si una customize order yako, hata ukitaka umbo la Sanchi wanakuundia tu.Hamna kanye wowo kubwa kama wabantu
Huyo hamna burudani anakosa tena anaweza kuwa 10 times more better than a regular lady maana hana drama za kijinga. Alichokosa ni pumzi tu!!! Msijifariji kabisa...tunaelekea era ya AI sasa.Tatizo hajui kufinyia kwa ndani
Bora mbau kila week kuliko invoice zisizo na idadi za akina mwajei na bado atakuachia UTI maana anakitembeza tu.22,500 kwa wiki,natamani ingekuwepo hapa tz,ningekodi sana,kuliko kuwa na hawa wakina kodi imeisha,sjui kusuka,sjui marejesho ya vikundi
haka kenye nguo nyeupe kapo kama kavampire
beijingi watapopoa sasaivi 😀 😀Huyo hamna burudani anakosa tena anaweza kuwa 10 times more better than a regular lady maana hana drama za kijinga. Alichokosa ni pumzi tu!!! Msijifariji kabisa...tunaelekea era ya AI sasa.
Ipo siku hizo nguvu unazoringia utakuwa huna mkuu 🤣🤣🤣 kisukari kikishagonga hodi! Hao unaotamba nao watakuona miyeyusho tu omba sana uzeeke na hela za kuhonga.Yaani ME mwenye akili timamu unaenda dukani eti kulinunua sanamu na kujifungia nalo chumbani eti unagegeda!!!! 😳😳😳😳
Hii dunia yetu sijui inaelekea wapi!?
Nawaona wamekuja na ukali kichizi full kuponda.beijingi watapopoa sasaivi 😀 😀
Bahati yao haya madude yanauzwa ghaali!Nawaona wamekuja na ukali kichizi full kuponda.
China yanauzwa bei poa kichizi, ingia Ali express ujionee!Bahati yao haya madude yanauzwa ghaali!
Kamnunue basiHuyo hamna burudani anakosa tena anaweza kuwa 10 times more better than a regular lady maana hana drama za kijinga. Alichokosa ni pumzi tu!!! Msijifariji kabisa...tunaelekea era ya AI sasa.
Kwanini huwa mnafinyia kwa ndani?Tatizo hajui kufinyia kwa ndani