Harmony sex doll

Harmony sex doll

Habari zenu bros & sisters

Harmony sex doll, ni mdoli wa uwezo wajuu kabisa uliotengenezwa kwaajili ya kufanya mapenzi.

Huu ndio mdoli wa kwanza wa mapenzi kutekenezwa kwa teknolojia ya juu zaidi, ulitengenezwa Calfonia nchini Marekani mwaka 2018 na kununuliwa na mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Alias brick mwenyewe umri wa miaka 60.

Mdoli huu uliundwa kama roboti mwenye sifa zote za mwanamke kasolo uhai tu.

Mdoli huyu anaongea , anakumbuka siku ya kuzaliwa kwake, ana uwezo wa kumshawishi mwanaume kimapenzi, ana uwezo wa kukataa kufanya mapenzi wakati ambao anakuwa amechukizwa au anapokuwa hana hamu ya kufanya mapenzi.

Ana ngozi nyororo ambayo ni sawa kabisa na ngozi ya binadamu, maungo yake pia na huwa ni wazuri kweli japo ni fake.

Anafanya mbwembwe zote wakati wa kufanya mapenzi kama inavyokuwa kwa mwanamke halisi kama vile kufikia mshindo.

Mmiliki wa mdoli huyo alinukuliwa akisema mdoli huyo ni bora zaidi kuliko mwanamke halisi hataivyo alikosolewa vikali na wanaopinga midoli hiyo na kumwambia kusema hayo ni kwenda kinyume na haki za wanawake.

Hata ivyo kampuni iliyo tengeneza mdoli huo imetengeneza midoli mingine zaidi ya aina hiyo kwa ajili ya watu wenye ulaibu nayo.

Wakiamini kwamba wanatengeneza midoli hiyo kwa lengo la kupunguza msongo wa mawazo kwa wale wanao tendwa na wawapendao, kwa wale wanao kosa wanawake, pia kuleta radha tofauti pengine zaidi, kupunguza kesi za ubakaji n.k japo kuwa hupingwa vikali na watu wa imani wakiamini kufanya hivyo ni kwenda kinyume na matakwa ya Mungu.

Mdoli huyo juu pichani ambaye anajulikana kwa Harmony doll alinunuliwa na mr .brick kwa pesa zenye thamani ya Tshs milioni 33, laki 9 na 30 elfu/33,930,000/=. Na kwa nchi zilizoendelea yapo makampuni yanayofanya biashara hiyo ,mfano mtu ukiwa na uhitaji unaenda unalipia gharama kwa muda utakao hitaji huduma ya midoli hiyo kisha kuirudisha , ambapo inakadiriwa kwa wiki ni sawa na Tshs 22,500.

Na kwa asilimia kubwa midoli ya kike ndo inamauzo sana kuliko ya kiume hii inaonyesha kwamba wanaume ndio wenye ulaibu mkubwa na midoli hiyo kuliko wanawake.

Je wewe unaweza kutumia midoli hii??
na 'ndogo' anayo?nimewaza tu hamna kitu lkn
 
Ukisikia ule msemo, “ukitaka wako pekeyako, chukua mgomba uweke ndani ndo hiyooo...”

Mgomba wenye haiba na taswira ya binadamu.

Swali la kizushi, wakipigwa katerero wanarusha maji? Yanakuwa refilled baada ya muda gani? Yatakuwa na chumvichumvi?

Ukiwala denda wanatoa mate au yatatumika mate ya mwanaume.....

Ngoja nipumzishe maswali.
Ukijibiwa uni-tag.
Maana umeuliza maswali kuntu.
 
Aisee watengeneze mengi tu. halafu shirika la msaada lisitishe kutoa kondomu za bure litupigie pande watuletee kama haya walau matatu tu tutawashukuru sana.

Hii ndio technology tunayoitaka, sio wanatumia matilion ya pesa halafu wanatutengenezea manuclear ambayo yanakuja kutuua sisi then wanakuja kutuambia tencnolojia imekua
Umewaza mbali sana mzee TUPO PAMOJA
 
😂😂 Sasa hili doll nalo linakerwa na nini kiasi Cha kugoma kutoa mbunye..!! Maajabu ya teja kuvaa kofia ya mjeda
Futa hilo neno mbunye mdoli hana mbunye,mbunye ni ya ke tu huoni unajizalilisha kufananisha mbunye na hilo li plastic!!
 
Back
Top Bottom