marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,106
- 1,948
Hypochondria Syndrome ..huu ni ugonjwa kwa kua na hofu ya kua mgonjwa !..
Huumwi lakini muda wote unakaa unaamini unadalili za kuumwa ,,ni kama vile uambiwe ni msimu wa tetekuanga na hujawahi kuumwa tetekuanga .
Ukipata miwasho kidogo tuu akili inawaza "mmh ndio nimesha pata nini" unaanza kufosi dalili ,yani hata kama huna homa utaanza kujiona wamoto ...
Watu hua wana mix kati ya Hypochondia syndrome na Munchausen syndrome
Munchausen syndrome ni hali ya kupenda kuumwa!
Yani mtu anapenda kuumwa kutokana na sababu kadhaa ..kama vile kupenda watu wanavyo muonea huruma anapo kua anaumwa ..ama anapenda attention tuu kwa watu kua anaumwa waje kumuona na ku care
Hapa kwenye Munchausen syndrome ndio lina zaliwa kundi la Public Sympathy sicker,
Hawa jamaa ni wale watu wanao penda kuonewa huruma na jamii ,,ni watu wanao penda ku shinda kwa kujifanya wao ni malaika kwa jamii .
Hawa hutumia kosa hata kama dogo kwa mpinzani wake ku mdidimiza ili ashinde au aonekane bora kwa kuonewa huruma na jamii
Mfano
Mashindano ya mbio ya washindani wawili mmoja anapoona kua anaelekea kushindwa atajifanya kavunjwa mguu na mshindani anae elekea kushinda ili aonewe huruma, apewe ushindi kwa ku onewa huruma huku akimpaka matompe mpinzani wake...!
Waka 2018 jarida la AUB AAR linalo simamiwa na Al jazeera walitoa takwimu kua kuna zaidi ya asilimia 30 ya watu wenye tabia hii Duniani.
Ukifatilia vizuri sakata la Rayvanny,Paula na Harmo uta gundua kua mmoja wao ana huu ugonjwa!