Harmonoze ana public simpathy sicker syndrome

Harmonoze ana public simpathy sicker syndrome

Acheni wivu wa kijinga nyie watu mtu kipato ni chake ameamua kusema kiasi anachoingiza eti mtu anakuja kusema hakutakiwa kusema vile wewe ndo umempa hiyo pesa em acha mtu aishi naisha yake mnaumia bure kwa vitu visivyowahusu ndugu zangu. Kodi analipa na serikali inajua kwani hawajui kua anaingiza kiasi icho??
Wanajua sana na hii kesi ni ya rayvanny hapo hapo viumbe mnaipindisha hadi diamond nae awemo eti alimtuma vanny kisa alitaja pesa anayoingiza ati serikali yataka kumnyoosha daaah bongo kwa kuunga dots hatari sana 😂😂😂
 
Mkuu umetumia ujuzi mkubwa sana kuelezea haya uliyoelezea...lakini umesahau alichofanya Vanny ni kutafuta kiki na alifanya hivyo ili kumchanganya Harmo (japo sidhani kama ni kwa matakwa yake) yes Harmo ameshachanganyikiwa sasa hizi kelele zinatoka wapi?
Unapomfanyia provocation mtu jiandae kwa lolote ndugu,usimpangie silaha ya kutumia sababu anakua out of control...nimemsikiliza jana Harmo kwenye Empire kuhusu hayo mambo,ni ujinga tu unaendelea kwenye sanaa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom