Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Dogo anaharibu sana kuwatukana Wasafi.

Nimesikia anasema alikuwa hayupo huru ndani ya Wasafi eti anafurahi kupata interview clouds alimis kuwa na amani.
Mbona ni kweli tu hakuna tusi, Mimi huwa wananifurahisha wachaga tu atauza duka la mwenzake baada ya muda anafungua lake na atakayefanya kazi kwakwe siku atafungua la kwake wote wanapata sasa shida iko wapi? mtu kaamua kuacha kazi kujiajiri ndio ushujaa. Yakimshinda ataajiriwa tu ila mtu ana mtaji wa kufungua duka lake unataka aendelee kuuza tu duka la mwenzake. Diamond bado ni mwanamuziki bora anajuwa biashara na huyu bwana mdogo wacha atafute kivyake. Juzi kina Kitenge kuajiriwa tu umesikia watu hawa nao lini watajiajiri huyu kathubutu matusi. Mimi naunga mkono jiajiri acha kuajiriwa.
 
Ukimsikiliza vizuri dogo Harmonize tayari asha haribika kisaikolojia ( Kachanganyikiwa).
Eti kauli ya Raisi ni sheria, yaani Mie umenipa sifa nimefanya vizuri.. Kwanini na mie nisikupe Sifa hata Kinafiki.

Clouds wanazidi kumpoteza Huyu kijana, Hicho chakula ndio Kabisa.. Wanakula wanapotea.

Uzuri Korosho itasimamiwa vizuri.. Atajipatia Kipato huko
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Aise maisha yamekua rahisi kiasi hiki! .

Anyway everything is possible.
 
Ukimsikiliza vizuri dogo Harmonize tayari asha haribika kisaikolojia ( Kachanganyikiwa).
Eti kauli ya Raisi ni sheria, yaani Mie umenipa sifa nimefanya vizuri.. Kwanini na mie nisikupe Sifa hata Kinafiki.

Clouds wanazidi kumpoteza Huyu kijana, Hicho chakula ndio Kabisa.. Wanakula wanapotea.

Uzuri Korosho itasimamiwa vizuri.. Atajipatia Kipato huko
dogo una ki wivu flani katika maandishi yako una hakika gani sifa za raisi kwa konde ni za kinafiki

mwakani konde boy mjengoni ikuume vzr
 
Nimefatilia instagram yake naona wafuasi wameongezeka. Hata views za promo ya huu wimbo una views zaidi ya 200K.

Kiufupi Harmo kawa mjanja kuliko Mavoko. Kule kuna unyonyaji ila sasa utatokaje kama huna hela?
Ashukuru Mungu hizo nyumba zimemuokoa
 
Back
Top Bottom