Harmonize na Wimbo wake Mtaje

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakuu kama mjuavyo mtu wenu ambae chochote kibaya kizuri kwangu ndani ya Jf siwezi ficha wala kukaa kimyaa.

Dogo Harmo katoa nyimbo nzuri sanaa ila sasa hii nyimbo pasi na shaka kamuimbia bibi yetu Kajala. Kweli nyimbo iko bomba ila Sa nacho jiuliza kipi hasa alicho pewa na yule Mama kiasi kwamba amuimbie nyimbo bomba kiasi kilee? Au alipulizwa. Eeeh? Cheki alikuwa na Mzungu mara Wolper ila kwa nini yule Bi Mkubwa?

Any way hayo ni maisha ya mtu ila kinacho niboa nyimbo nzuri sanaa sema tuu kamuimbia mtuu maalum.

Nyimbo jina lake "Mtaje By Harmonize"
 
Nyimbo za siku hizi zinatia hata uvivu kusikiliza, kabla hata sijasikia tayari kichwani najua nitakutana na maudhui ya namna gani....r.i.p bongo fleva
 
Dogo target yake ale yule mtoto tu ndio nafsi itatulia. Anajuta kumuonyesha dogo Dudu na hakumla.
 
Mtu na akili zako unaweza kuwa na Kajala kweli? Hapa bongo mjanja wa hizo mambo ni Diamond tu.
Hao ni kupiga na kusepa, hakuna kuweka kambi. Kajala, Wema, Wolper na wengine
Huyo Makonde amekuja juzi mjini naye anajiona mjanja. Hao mademu wapo kimaslahi zaidi, akikuomba umnunulie 🚗 la milioni 50, ahadi zikawa nyingi, kesho mapema asubuhi anakupiga chini.
 
Back
Top Bottom