Pakua MP3:
Harmonize ft Diamond - Bado
Naweza sema tumeshudia kwa Mara ya kwanza kuona label ya WCB namna inavyokua kwa kasi kubwa na kuweza kuteka industry ya muziki bongo na Afrika kwa ujumla.
Naamin italeta changamoto kubwa ya kimuziki kwa label kama [HASHTAG]#YBNL[/HASHTAG] ya Olamide [HASHTAG]#Mavins[/HASHTAG] ya Don jazz [HASHTAG]#MadeManMusic[/HASHTAG], [HASHTAG]#HKN[/HASHTAG] just to mention afew.
Tayar mastaa kibao washaanza kutoka sapot kwa kijana @harmonize_tz..WCB imeonyesha namna inaweza kufanya investment kubwa ambao msanii uitaji ili kubwa marketable..
Mfno..Image ya msanii(Appearance),Branding an artist, lini ngoma mpya itoke..n Promotion nzito.
Bravo kwa uongozi wote wa @wcb_wasafi kwa kazi nzuri.Namna ya kufanya consistency yan hit after hit nikazi sana kwa wasanii wetu tz ,believe me [HASHTAG]#Bado[/HASHTAG] ni kiboko ya [HASHTAG]#Aiyola[/HASHTAG] japo haters wapo hawakosi oh Mara ubunifu..but wanasahau kua hii ni mwendelezo wa [HASHTAG]#Aiyola[/HASHTAG] baada ya kuachwa na anasema [HASHTAG]#Bado[/HASHTAG] maumivu hayajaisha wapi ngumu kuelewa??!!
1. Audio iko superb,ina mashairi kuntu imepangiliwa, producer kafanya kazi yake haswaa pia mzee King Maru ktk saxophone katisha mbaya
2. Video cna usemi, storyline iko njema sasa kwenye rangi mixing(quality ya kiwango cha juu sana) kwenye shots apo ndo nikasema directors watz wajfunze..Huyu ameua balaa
3. Dance sasa, kiukwel mko vzur sana, saiv nafanya mazoez mpka niweze imenivutia sana diamond pale anatikisa kichwa palinogaje.Thumbs up 10/10.
Mission accomplished [HASHTAG]#Masterpiece[/HASHTAG]
umesahau kututajia siku na saa bas tukae mkao wa kulaMsanii alie chini ya lebel na management ya W.C.B harmonizer kesho anatarajia kutoa wimbo wake mpya aliomshirikisha Icon wa Tanzania Diamond platinumz.
Na huu wimbo ndio utakaompeleka harmonizer kwenye level za kimataifa kuanzia audio hadi video yake na kuleta changamoto kwa upcoming artist kutoka Nigeria kama kiss Daniel, korredo bello, Lil kesh.
Nyimbo hii itazandiliwa katika kipindi cha Leo tena kuanzia saa nne asubuhi hadi saa saba mchana kupitia radio brand namba moja Tanzania super brand clouds fm
Kaka nadhani ni jumatatu..umesahau kututajia siku na saa bas tukae mkao wa kula
had huyu wa Romantic....ahhhh kweli!??Lets wait and see
Dogo mbona hajiamini, mapema Hivi kashaanza kutaka mbeleko wa Diamond? Angesubiri atoe hit kama 4 mwenyewe bila collabo la staa, mi hapo namchukulia mwoga. Halafu kwanini wanazindua kwenye Leo tena, Ni taarabu nini?!
Msanii alie chini ya lebel na management ya W.C.B harmonizer kesho anatarajia kutoa wimbo wake mpya aliomshirikisha Icon wa Tanzania Diamond platinumz.
Na huu wimbo ndio utakaompeleka harmonizer kwenye level za kimataifa kuanzia audio hadi video yake na kuleta changamoto kwa upcoming artist kutoka Nigeria kama kiss Daniel, korredo bello, Lil kesh. Reekado banks
Nyimbo hii itazandiliwa jumatatu tarehe 29. 02.2016 katika kipindi cha Leo tena kuanzia saa nne asubuhi hadi saa saba mchana kupitia radio brand namba moja Tanzania super brand clouds fm
Thread umeandika saa 6 dakika 38 usiku halafu unasema kesho kwa maana ya Jumanne ilhali jamaa wao wanasema wanaachia leo Jumatatu.Msanii alie chini ya lebel na management ya W.C.B harmonizer kesho anatarajia kutoa wimbo wake mpya aliomshirikisha Icon wa Tanzania Diamond platinumz.
Na huu wimbo ndio utakaompeleka harmonizer kwenye level za kimataifa kuanzia audio hadi video yake na kuleta changamoto kwa upcoming artist kutoka Nigeria kama kiss Daniel, korredo bello, Lil kesh. Reekado banks
Nyimbo hii itazandiliwa jumatatu tarehe 29. 02.2016 katika kipindi cha Leo tena kuanzia saa nne asubuhi hadi saa saba mchana kupitia radio brand namba moja Tanzania super brand clouds fm