Harmonize ashauriwe sasa Kiki zimezidi hadi zinaboa

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
Kuchukulia positive au negative ni juu yake na Management yake ila kimsingi anaboa sasa na ndiyo ukweli wenyewe japo mchungu.

Dogo kazidisha kiki hadi umegeuka utoto hata anachokifanya kwenye muziki hakisikiki wala kueleweka tena.

Call a spade a spade.

Kama vipi tuanzishe Industry nyingine ya Kiki huko atatoboa.
 
Nadhani kiki zinamsaidia kwa namna fulani,sasa isingekuwa kiki angeimba wimbo ule aliomuimbia kajala ? ,haya mambo ya kiki Harmonize anayaweza sababu anatengeneza kazi

Mimi naupenda ule wimbo amenuimbia kajala na pia niseme tu kwamba jamaa ana kipaji, Labda useme apunguze lakini sio aache kiki sababu zinamfanya anatengeneza kazi nzuri
 
Sasa si karithi kwa boss wake wa zamani na hajamfikia hata robo.
 
Back
Top Bottom