Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,351
Upumbavu wa kiwango Cha lamiKesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Hapo unapuyanga, Mungu yupo ila humuoni, kuna kila dalili. Hata mapepo na majini wanakiri hilo, wewe ni nani mpaka usikiri?Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Aisee!Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Laana juu ya laana.Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Hata mimi nimemuambia kuwa anapuyanga huyo.Laana juu ya laana.
Umeenda wrong kijanaKesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!Hapo unapuyanga, Mungu yupo ila humuoni, kuna kila dalili. Hata mapepo na majini wanakiri hilo, wewe ni nani mpaka usikiri?
Kizuri au kibaya??Konde Gang, msanii wa Bongo Flava ameuliza kwenye wimbo wake wa dunia, kuwa ni kwa nini watu wanaokesha kusali misikitini na makanisani wana hali mbaya kiuchumi, wana maisha mabovu, hawapati baraka ambazo Biblia na Quran imeahidi kwa waumini wake, kama ambavyo Wayahudi na Waarabu wa kale walivyopata?
Anauliza kuwa ni kwa nini kila kitu kizuri kinaitwa ni cha shetani?!
Haya wanajamvi tumjibu!
Inaitaji ujasiliKesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Subhanaalah! Hivi binaadam tuna nini lakini? Mkuu umepatwa na maswahibu gani hata ukane uwepo wa Mungu?Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!
Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
Oyaaa..unasemaje wewe? Ngoja waje..🤔Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!
Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
Mungu gani aliyekanwa hapo?Subhanaalah! Hivi binaadam tuna nini lakini? Mkuu umepatwa na maswahibu gani hata ukane uwepo wa Mungu?