mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,909
- 106,197
Syo kweliwakenya wana wivu sana kwa wasanii wa bongo
Mziki wa bongo unapendwa
Ova
Syo kweliwakenya wana wivu sana kwa wasanii wa bongo
Acha masihara, unajua ksh 50m ni bilioni moja ya kibongo?Hiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa ksh 87M Kiba alipwa Ksh 67M na Vanessa mdee Ksh 56M ukizibadili kwa pesa ya kwetu unapata hela nyingi Sana kwasababu hela ya kenya inathamani kubwa kulinganisha na ya Tanzania na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
Hazifiki yaani hata Ile laki 3 ya kenya haifiki kama unabisha fuatilia unafanya mchezo Kwa club Gani za maana na hao wakina diamondHiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa ksh 87M Kiba alipwa Ksh 67M na Vanessa mdee Ksh 56M ukizibadili kwa pesa ya kwetu unapata hela nyingi Sana kwasababu hela ya kenya inathamani kubwa kulinganisha na ya Tanzania na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
Na huwaga wanatafutaga sababu ndogo husipokuwa makini wanapata cha kuongea.wakenya wana wivu sana kwa wasanii wa bongo
Syo kweli
Mziki wa bongo unapendwa
Ova
87M au 870,000KSH sijakusomaHiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa ksh 87M Kiba alipwa Ksh 67M na Vanessa mdee Ksh 56M ukizibadili kwa pesa ya kwetu unapata hela nyingi Sana kwasababu hela ya kenya inathamani kubwa kulinganisha na ya Tanzania na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
Kwamba zaidi ya 1.7b za kibongo? Mmmh87M au 870,000KSH sijakusoma
Sorry nimekosea ukicalculate kwa hela ya bongo ndio inakuja hizo hela nilizotaja inabidi ni edit kidogo87M au 870,000KSH sijakusoma
Sorry nilikosea ukicalculate kwa hela za bongo ndio zikuja hizo hela nilizotajaAcha masihara, unajua ksh 50m ni bilioni moja ya kibongo?
Kuna muislamu safi anavuta bangi kiasi hicho na kulewa pombe?Lakini huyu kijana si muislam safi. Je uislam unaruhusu kwenda club kipindi cha mfungo
how much they will payed? Hii lugha haiko sawa.Hiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa Tsh 87M Kiba alipwa Tsh 67M na Vanessa mdee Tsh 56M na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
Miziki ya akina Ali Kiba na Diamond je, uisilamu unaruhusu?Uislamu hauruhusu kabisa kwenda Club (hata kama sio kipindi cha Ramadhan), na unapiga marufuku hii miziki ya kina Harmonize.
Hapo inatakiwa iwe paidhow much they will payed? Hii lugha haiko sawa.