Harmonize akamatwa Nairobi akidaiwa kutotokea kwenye Klabu kadhaa alizolipwa atumbuize Jijini humo

Hiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa ksh 87M Kiba alipwa Ksh 67M na Vanessa mdee Ksh 56M ukizibadili kwa pesa ya kwetu unapata hela nyingi Sana kwasababu hela ya kenya inathamani kubwa kulinganisha na ya Tanzania na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
Acha masihara, unajua ksh 50m ni bilioni moja ya kibongo?
 
Harmonize hiyo ngumi amempangusa tu, angemtandika vizuri amuondoe meno ya mbele aache kiherehere.
 
Hiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa ksh 87M Kiba alipwa Ksh 67M na Vanessa mdee Ksh 56M ukizibadili kwa pesa ya kwetu unapata hela nyingi Sana kwasababu hela ya kenya inathamani kubwa kulinganisha na ya Tanzania na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
Hazifiki yaani hata Ile laki 3 ya kenya haifiki kama unabisha fuatilia unafanya mchezo Kwa club Gani za maana na hao wakina diamond
 
Tusome hii statement ya E.Omondi

================

“Kenyans have to understand the difference between a club appearance, or technical appearance, or a meet-and-greet and an after-party. They are not like a concert,” the comedian was quoted as saying.
 
Nimewaongelea kwa ujumla. Hata mlima kilamanjaro wanaupenda ila hawapendi uhalisia kuwa upo Tanzania

Muziki wanaupenda ila wenye muziki wanafanyiwa figisu figisu za kutosha
Syo kweli

Mziki wa bongo unapendwa

Ova
 
Hiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa ksh 87M Kiba alipwa Ksh 67M na Vanessa mdee Ksh 56M ukizibadili kwa pesa ya kwetu unapata hela nyingi Sana kwasababu hela ya kenya inathamani kubwa kulinganisha na ya Tanzania na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
87M au 870,000KSH sijakusoma
 
Hiki kitendo kitamuharibia Sana Kenya huko hawana utani na ubabaishaji au mambo ya udhalilishaji tofauti na hapa kwetu anaweza kufanya hivyo na maisha yakaendea kama kawaida nakumbuka issue ya kofi olomide mpaka Leo hafanyi Tena show kenya.Kenya ni nchi ambayo mziki wetu unapendwa Sana na ndipo kuna hela nyingi, wasanii wetu wanalipwa hela nyingi Sana kama sikosei mwaka 2016 kwenye show moja maarufu huko kwao kwa usiku mmoja Diamond alilipwa Tsh 87M Kiba alipwa Tsh 67M na Vanessa mdee Tsh 56M na hiyo ilikuwa ni tu 2016 hiv sasa how much they will payed?
how much they will payed? Hii lugha haiko sawa.
 
Back
Top Bottom