lara 1 ni mamako huyu huyu aliyekuwa anafuga kuku na kufanya overtime ili msome au?
well ni kutaka tu kusema kuwa familia nyingi na hatukuanza sisi leo
vitu vinarun kwa nguvu ya mama!
hili nilikua nikiliona nafikir sidhani kama naweza kubadilika sasa!
babu wewe hujawah kuona haya??
ni ukweli usiopingika kwamba familia nyingi zina run kwa nguvu ya mama.
tena tokea tuakua hadi leo bado mama amekuwa ni mwezeshaji wa kila jambo katika familia kwa mikono yake mwenyewe.
happy val's day mlongo wangu
mara nyingi huwa nafanya hivyo, lakini nafanya kwa kitu nilichokuwa na uwezo nacho.....rafiki yangu FP, kwanini kila mara uwe ndo mtu unayeazisha jambo wewe?? binafsi mie kwangu iko hivi nitasema kazi iliyoko mbele yetu ila silazimiki kukwambia toa hela ili kufanikisha manake ni wazi wajua kwamba unatakiwa kutoa na usipotoa ala sikuulizi manake ya nini?? kwan wewe ni mtoto??
basi mie nimeona hizi manake nilipokuwa nakuwa baba yangu alikuwa mtanashati asiyependa shida mama akatumika kuwezesha kila jambo nyumban mahal ambapo sikuona baba akileta utanashati ni kwenye kupokea hela tu hasa baada ya kuuza kahawa.Mara nyingi nimeona familia zile ambazo libaba linakuwa lofa (hopeless in almost everything) kiasi kwamba mama anaamua kubeba mizigo yote.
Ila familia ambayo libaba linabaku kuishi kwa kugawa mapenzi kama beberu la mbuzi hapana kuona mimi....!!
Babu DC!!
kuna mambo yanaudhi rafiki yangu.....hahahh! umepinda wewe.
rafiki mie nahisi atakuwa trillionea manake hela yake ni ya kusave tu.mara nyingi huwa nafanya hivyo, lakini nafanya kwa kitu nilichokuwa na uwezo nacho.....
siyo kujigeuza power tiller na wengine wanalala tu.
unajua rafiki kitu ambacho hakiniingii akilini wakati mimi nafanya kila kitu yeye hela zake anakuwa anafanyia nini? kama kila kitu hajigusi si mwenzangu atakuwa bilionea huko benki?
basi nshapata kishort cut lolz!
haya hebu wa mwagie nondo wanafunzi wako manake jamani hawaamini haya
umeona eeh!rafiki mie nahisi atakuwa trillionea manake hela yake ni ya kusave tu.
karibu sana mwali!
nondo hazisomeki kwa wengi tatizo!kama hawazielewi vileeee
basi mie nimeona hizi manake nilipokuwa nakuwa baba yangu alikuwa mtanashati asiyependa shida mama akatumika kuwezesha kila jambo nyumban mahal ambapo sikuona baba akileta utanashati ni kwenye kupokea hela tu hasa baada ya kuuza kahawa.
na sikuwah kuskia ugomvi kati yake na mama mpaka leo nimezeeka mie
yaani mm hapo kwenye ku push ndo siwez kabisaa, mm nitafanya manbo yaende na yy atabaki kushukuru tu.
mimi sikubishii, naomba tu niseme labda sababu haya hayajanikuta ndo maana sielewi inakuwaje mpaka mwingine awe power tiller wakati wote mna kipato kizuri... labda hii mtu mzima mwenzangu Dark City asaidie kunieleweshaila nimejifunza mwali kwamba watu hawanielewi kabisaaa. wengi hapa watabisha ila ngoja waende kwenye uhalisia hapa watakuja na story tofauti kabisaaaaaaaaaaa.
nitafutie cacico aje hapa atuambie je ni ya kweli haya??
mimi sitam-push kama najua hana kipato.... maana sitaweza kumwambia akaibe ili tusaidiane, lakini kama ana kipato sielewi kwa nini asichangie! na hasa kinachonichanganya ni kuwa hela zake anafanyia nini? yaani hapo itachukua muda sana kunieleweshayaani mm hapo kwenye ku push ndo siwez kabisaa, mm nitafanya manbo yaende na yy atabaki kushukuru tu.
Hapa naona umeuvaa mkenge??
Hivi mtoto anaweza kujua undani wa mipangilio ya wazazi kama hakuna mmoja wapo anayelalamika??
Kama si hivyo basi unaweza kukuta wenyewe walikuwa wanakubaliana na mama anashika mafungu hayo hayo ya kahawa na kusimamia mambo.
Honestly, watu wanapokaa pamoja, wanafikia mahali na kukubaliana kuwa mmoja wao ni mzuri kwenye jambo fulani na hivyo kujikuta anaachiwa kama jukumu lake.
May be that was the logic behind what you saw....??
Babu DC!!
hapa inaweza niingia akilini,Hapa naona umeuvaa mkenge??
Hivi mtoto anaweza kujua undani wa mipangilio ya wazazi kama hakuna mmoja wapo anayelalamika??
Kama si hivyo basi unaweza kukuta wenyewe walikuwa wanakubaliana na mama anashika mafungu hayo hayo ya kahawa na kusimamia mambo.
Honestly, watu wanapokaa pamoja, wanafikia mahali na kukubaliana kuwa mmoja wao ni mzuri kwenye jambo fulani na hivyo kujikuta anaachiwa kama jukumu lake.
May be that was the logic behind what you saw....??
Babu DC!!