binti yangu amechapwa bakora kisa sijamlipia 5000= ya harambee ya lowasa hapa wilayani kwetu...
Imeniuma sana mtoto wangu kupewa adhabu wakati mzazi nipo. Je hiyo adhabu ndio uwe mchango wangu wa harambeee hiyoo ya lowasa???
Vilevile nashindwa kuelewa huyu lowasa yeye ni mbunge wa monduli.. Sasa kuja huku tmk kufanya kampeni hizo eti tuchangie halafu yeye atoe zake aunganishe na zetu .. Kwanza atueleze anazitoa wapi mbunge huyuu???
Vilevilee huku tmk yupo mbunge wetu iweje sasa yeye awe kama msindikizaji tu badala kuwa ndio mgeni mkuu apokee huo mshiko wa lowasa? Badala yake lowasa ndio kafanywa mgeni mkuu... Shame!!!
Kampeni za lowasa zilianzia makanisani baadae misikitini now! Zimehamia mashuleni tena tunaambiwa ni lazima kutoa hiyo harambee la sivyo mtoto hasomi shule..
Jamanii... Jamani... Wananchi wenzangu.. Hebu tusaidiane hili.. Kweli mwanangu afukuzwe shule kisa sijatoa 5000= ya harambee ya lowasa???
sasa unataka uletewe maendeleo na nani? Maendeleo inabidi uhimizwe tena elfu tano tu!! hongera Lowasa kutuhimiza katika maendeleo..go go go...
Huyo ndio JANGA LOWASA
acheni akili za kitoto na kuungana mkono kwenye mambo ya kijinga,ebu muulize amechangia harusi ngapi tena zaidi ya hiyo pesa ya bia mbili kwa return ya kupigiwa makofi kikaoni lakini buku tano inamfanya aende kununua vocha na kuja kumsema mchangia maendeleo ya nchi.shame on you misukule
Ebu ficha ujinga wako muda wa siasa za majitaka umepitwa na wakati watanzania watamchagua mchapakazi na yule atakaewaletea maendeleo mengine baadae.PUMBAFUUUU....... Yaani mnaendekeza kumbeba fisadi serikali ipo wapi hiyo siyo kazi yetu kuchangia harambee za kipuuzi kwani michango ya shule tunaielewa lkn sio michango kama hii.. ya kampeni za kutaka urais tu
lowasa hawezi kuteuliwa kuwa rais kwa style anazotumia.. hela zake tunakula kama kawaida ila ajuee hawezi kuwa rais wa chi hiii atabaki kuwa mbunge wa monduli kwa huruma ya wamasai wake.
JK alishafunguka zamanii kuhusu lowasa kwamba hafai hata kwa kulumagia. TAMBUA HILO WSE MBURULAAA..[/COLOR][/SIZE][/B]
Hatuko hapa kujuana lakini hata wewe ninawasiwasi na uraia wako mtanzania halisi hana tabia na kulia katika kuchangia maendeleo ya taifa lake.Utakuwa ni muhamiaji haramu.wewe humjui lowasa weweeee!! Tuliza makalio yakooo hapoo ulipo
sasa unataka uletewe maendeleo na nani? Maendeleo inabidi uhimizwe tena elfu tano tu!! hongera Lowasa kutuhimiza katika maendeleo..go go go...
kabisaaaaaa... Kwanza alizochukua zinatosha.. Amekuwa waziri miaka 2 tu kaleta richmond hebu tumpe nchi tuone atakavyokomba.. Nyoooooooo!!!! Hapewi mtu hapa...
sasa unataka uletewe maendeleo na nani? Maendeleo inabidi uhimizwe tena elfu tano tu!! hongera Lowasa kutuhimiza katika maendeleo..go go go...