Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Kuna omba omba wengi sana hapo mtaani, ni bora hiyo pesa ungeenda kununua mitumba ya nguo na kuwagawaia hao, ama ungewanunulia chakula kwa pesa hiyo.
Ha ha haaaaa Tshs 20 million, ndio nyingi ? Nakumbuka Mh. Mohammed Dewji alikichangia chama chake Tshs 560million, sasa hapo kwa yeye tungesemaje ?
kwa kile kilichojitokeza wazi na dhahiri kuwa cdm ni moto wa kuotea mbali ni kile kilichorushwa live kupitia startv. Na katika kuweka mambo sawa na kuonyesha kuwa haogopi na kusombwa na hisia kuwa ukiwa mfanyabiashara ni hatari kusaidia cdm na vyama vya upinzani, mhe ndesa ''pesa'' kama alivyojitambulisha yeye mwenyewe alikichangia chama chake millions 20 cash! Kwanza alimuuliza m/k mbowe kwamba anataka apewe ngapi na ndipo alipojiamulia kuwa '' natoa 20millions na nitaendelea kutoa kukisaidia chama hadi pale ukombozi wa kweli utakapopatikana na hii m4c ifikie adhima yake''.
Mohammed Dewji ni kada wa CCM na alikuwa anatoa kwa chama tawala na hivyo hakuna kitu ambacho angehofia katika maslahi ya biashara zake zaidi ya kupata neema. Na kama hiyo haitoshi wote tunafahamu biashara za MO na uhusiano wake CCM. Hivyo kulinganisha sadaka ya Dewji na Ndesa ni sawa na kufananisha/kukutanisha mbingu na nchi, Mwanaume na mwanamke ungali unajua tofauti zao
Tafadhali GeniusBrain THIBITISHA MADAI YAKO!
Dewji anaongoza kwa kudaiwa na mabenki,ndie muuzaji mkubwa wa sukari ya magendo toka malawi,brazil!anauzapembe za ndovu
Chama cha walalamikaji, chama kila mara kinaona kinonewa!
Hongereni CDM kwa kuweka historia mpya TZ ya kuomba omba kuanzia kura hadi fedha za kuendesha chama na za kampeni!
Nakumbuka una alama nyeusi kwenye kalio lako la kushoti!ukombozi ni kwa kutembeza bakuli, tena naomba hili bakuli litembee nchi nzima kama mwenge wa uhuru, nchi hujengwa na wananchi na siyo kikundi kidogo cha watu
bravo CDM
Du wanachi maskini wa tanzania wanachanga kidogo walichonacho then zitumike kwa ajili ya chopa lol
Pole mzee wetu,tunamwomba Mungu akujalie maisha marefu ili uje ushuhudie Chama ulichokiasisi kikikamata dola na kuleta maisha bora kwa Watanzania wenzako.Nimefika nyumbani saa 3.00 usiku huu, nikitokea Nairobi kumwona Kijana wa ndugu yangu aliyepata ajali ya gari, pamoja na kumwona daktari wangu. Sitaweza kufika ukumbini, lakini kama Muasisi wa Chadema nachangia Shilingi Milioni Nne.
Manyanza,
Nipo na vijana wangu wa kazi mabingwa wa IT wanaweza kufanya Network's Collapse kwenye makampuni yote ya simu, lakini nimeamua kuacha mpate pesa kidogo ya kula.
Ajabu haijapata kutokea!CDM imezindua mpango wa kuendeshwa kwa nguvu ya umma huku ikirusha live na star tv.
Juma ya hela zilizopatikana cash kwa wale waliokuwa tayari kutangwa live ni zaidi ya millioni 200. Majumuisho yakifanyika usishangae ikawa mabilioni kwa watu wamekua wanatuma cheki na kuchanga kupitia M-PESA,TIGO PESA,AIR TEL PESA NK.
Katika hali ya kutatanisha TANESCO walikata umeme wakati kipindi kinarushwa katika jiji la Arusha.GENERATOR LATUMIKA KURUSHA MATANGAZO.
Source Star TV
Si kweli unajidanganya... Huna uwezo huo na huna watu wenye uwezo huo. Kwani kukubali issue kuna tatizo gani ?
Manyanza,
Nipo na vijana wangu wa kazi mabingwa wa IT wanaweza kufanya Network's Collapse kwenye makampuni yote ya simu, lakini nimeamua kuacha mpate pesa kidogo ya kula.
Kwa mara nyingine watanzania wanaibiwa na kuchakachuliwa na watu wanaojiita wapinzani, eee mungu tuokoe na hawa wafanyabiashara
Hii Star TV nilikuwa nadhani ni ya magamba!!! Wamebadili msimamo au ni biashara mbele???