Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
Rais nishamchamba sana.
Na wewe una wajibu kukataa kuhusika vyovyote na upuuzi huu. Kunatakiwa kuwe na movement ya ku boycott hii mechi kutoka kwa watu wote wasiojiweza kiuchumi wa Tanzania.
Nakushangaa unavyoshabikia kitu ambacho huwezi kukimudu, kitu ambacho kimetumia vibaya hela yako ya kodi.
Hizo $ 6m wangeweza kuwapa walimu raises hata kama ni kwa gesture tu ya ku raise morale na solidarity.
Instead, wanatumia live ammunition against you, na wewe unafurahia kabisa, tena unatafuta kiingilio kwa nguvu.
Ni kama kondoo anayetafuta nauli ili aende machinjioni kuchinjwa.
kama kuingizwa mkenge, tumeshaingizwa mkenge, hatuna budi kwenda kuuangalia huu mpira,kususa haitatusaidia tutakosa yote,,bora tupate moja walau...kuboycott kama unavyosema wewe katika jambo kama hili ni kitu cha kijinga. ndo tatizo lenu kila kitu mnataka kususasusa bila hata kufikiria. tunaoenda kuangalia tutaenda, wasioenda wabaki home na tv wala wasifungue kutuchungulia tukiwa uwanjani...bora tukanunue ticket kuchangisha walau kirudi kidogo tulichobambikwa...tukisusa kabisa si ndo tutakula hasara ya moja kwa moja? fanya boycott peke yako wala usiende.....si ajabu unaongea ivi kumbe umeshaweka ticket yako mfukoni tayari...kalagabaho nyie wengine...