Haraka: Kama una NGO fungua hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haraka: Kama una NGO fungua hapa.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Logo, Nov 17, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima Wakuu,
  Naomba ushauri wenu nataka kuanzisha NGO.
  1. Christian NGO
  2. Itakuwa Mtwara
  3. Itakuwa kwa ajili ya kuwasaidia watu kielimu (education center, Church, Chrisitian fm Radio)

  Natatakiwa kwanza kuanza kwa NGO tu mengine yatafuata baadaye. Naombeni procedures nitafurahi sana, nifanyeje. Mfano nasikia kuna katiba, naombeni angalau template na mengine mengi Asanteni.
   
 2. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  kuna kampuni inaitwa GSBC Ltd inaweza kukufanyia kazi hiyo yote kwa bei nafuu sana contact MR Mbele 0715752090
   
 3. R

  Richardbr Senior Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Good advice lakini ili kupunguza gharama anayeweza na anayejua atusaidie hizo NGO Templates
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ungewasiliana kwanza na hao ndio ujue kama ni gharama kubwa au la..
   
 5. Smart

  Smart Member

  #5
  Aug 11, 2016
  Joined: Jan 16, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ada nafuu sana unaandikiwa katiba , mpango mkakati na mpango kazi
  Wasiliana nasi kupitia +255655746067 & +255752746068
   
Loading...