Nime unga unga, umesema nisi tukane kisha kama niki kukuta.Hivi ata umeelewa, mwenyewe sielewi nimeandika manini😅
😁😁 kazi ipo
Woii 😂😂Namie nimeandika, sipo ila naona lugha gongana😬
Lugha za wenyewe hizo, nisije tukana wazeeTujifunze lugha vizuri mkuu😅
Bila kudanganya, mtoto mzuri mwenye uno la kuvunja chaga kama wewe nitakupata vipi?Mara huna mara unaye unamfunza cherehani, hamueleweki humu🤔
😁😁 kazi ipo
Mwanike majaribu gani haya 😂Tutakufunza usiwaze😅
mwanike ule nkema wa nkulu gani?, maana nale data data 😂Kujifunza lugha sio majaribu nyanda😅 huenda wifi akawa wa huku kwetu utaongea vp na wajomba? ohoo!
Mwanike wa kukaya doho!, ote na migulu ya nzoka?.Nale wa kukaya duhu, nkulu amake hange? Nate ntuzu nene! Ndoho ko data data na banike ba mitandao😂😂