Happy Women’s Day!

Happy Women’s Day!

Ni kweli kwamba wanawake wana vipaji vya kipekee, kama mawasiliano, kumbukumbu, na uelewa wa hisia, lakini sayansi inathibitisha kwamba kwa jumla, hakuna jinsia inayezidi nyingine kwa akili. Kila mmoja ana nguvu zake binafsi, na akili inategemea zaidi mtu binafsi, elimu, na uzoefu, si jinsia pekee.
 
Happy birthday mama yangu mzazi! Mama mzaa chema ambaye ni mimi ubarikiwe sana, salamu zangu za pili zimfikie mke wangu kipenzi hakika wewe ndiye unaniheshimisha,unanijali na kunipenda sana,huna baya mke wangu enjoy your day, salamu za tatu ni kwa ma wanawake wote africa, mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom