😅😅😅😅 ubweche na ndondo.Vipi wapi tuje tupige ubweche na maharagwe na soda mwezi mtukufu WA kina mammaamama
Nimefunga, halafu sijawahi kunywa.Iwe leo basi. Twenzetu tukalewe...au umefunga?
Mimi na hao weupe au maji ya kunde sasa 😂Hao ndio wa kwako sasa😅 haipendezi kuzidiwa au klingana urefu japo saingine ndio unapata wa aina hiyo🤭
Dah basi tenaNimefunga, halafu sijawahi kunywa.
Usi ninukuu vibaya, sijasema hivyo😅Kwahiyo sisi weusi tutafute pa kwenda sio☹️
Usiwaze, maybe tutaibuka holiday.Dah basi tena
Nishakuwa gumshangazi😁,,hii siku nilihisahauNaam, shwari kabisa?
Nishakuwa gumshangazi😁,,hii siku nilihisahauNaam, shwari kabisa?
Bhagosha, yaya gete, mimi sio msukuma nina makazi huko na familia imejenga himaya huko.Sawa ila ni kujiongeza tu, kaka zangu wasukuma na rangi ya mtume🙌🏾
Ndio maisha, umri unaenda maana muda hausimami.Nishakuwa gumshangazi😁,,hii siku nilihisahau
Ndoho tabu, naleza mwezi wa 12 niku peleke pale Capri point mwanike wane .Bhebhe!! Ooh karibuni usukumani, bagheshagiko😄
Mwezi wa 12 kule no! Capri point pa bhazungu nyandone😂Ndoho tabu, naleza mwezi wa 12 niku peleke pale Capri point mwanike wane .
Nataka kutukana 😅
Yee tulombe uzima, nita kukuta tu hata ukisepa tutaona.Mwezi wa 12 kule no! Capri point pa bhazungu nyandone😂
Duhu kudoka nang’o.. nale ko ng’whani no nene, hemba bukonisanga nale kwenoko🤔
Hmm mpaka naona aibu naandika sijui nini🙊