MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,419
- 22,543
Ahsante ,ulinichanganya maana hii tarehe uwa ni lazima inikute kwetu na lazima nishinde makaburini kwa mama yangu hivyo nimestuka kweli kweli nikidhani mwaka huu nimejisahau .Ni tarehe 8 doctor
Wana pendezesha ikulu zao, mikakati ya vizinga vipya, na jinsi ya kula nauli 😅Zamani hizo nikiwa mtoto kila tar 16 mwezi 6 ni siku ya mtoto wa Africa hapo tutaandaa nyimbo, ngonjera, maigizo na michezo mingine, nyie hua mnafanya nini kwenye siku yenu?
😅😅😅😅Wengine tunaanza usiku..
Heeee yamekuwa hayo! 🤣Leo namtafuta mshangaza nimshughulikie kisawasawa kuadhmisha siku hii adhmu! Wanawake usipowashughulikia wanakudharau!
Wenzetu hawa wanapenda heka heka sana.Wana pendezesha ikulu zao, mikakati ya vizinga vipya, na jinsi ya kula nauli 😅
Hatuna jambo dogo 😅Umewahi sana subiri bado siku moja
Hasa hawa weupe na wafupiWenzetu hawa wanapenda heka heka sana.
Tumieni fursa vijana, waliopo makazini Leo wameruhusiwa kwenda kwenye hayo maadhimisho.Hasa hawa weupe na wafupi
Ewe mjukuu wa ngoda sasampa, hujui huu ni mwezi wa mfungo au ndio nile tu nita samehewa!Tumieni fursa vijana, waliopo makazini Leo wameruhusiwa kwenda kwenye hayo maadhimisho.
Hapo utaaza kula mema Leo mpaka jpili usiku.
Vijana wadogo mna dhambi gani za kuanza kufunga mapema hivo?Ewe mjukuu wa ngoda sasampa, hujui huu ni mwezi wa mfungo au ndio nile tu nita samehewa!
Mwanamke lake jiko tu.
dhambi za kurithi broVijana wadogo mna dhambi gani za kuanza kufunga mapema hivo?
Vipi wapi tuje tupige ubweche na maharagwe na soda mwezi mtukufu WA kina mammaamamaHatuna jambo dogo 😅
Lakini pia baadhi ya ofisi wanaadhimisha
leo sababu wanaona itakuwa ngumu kujikusanya jumapili.
Ndio leo kumbe! Asante sana mkuuHappy women's day, mjaliwe moyo wa usikivu, uvumilivu na hekima.
Babu ayatollah binti kiziwi, bro Evelyn Salt, Minah, cacutee, Demi, Mawardat, Dahan, mama D, suzie _barbie, cocastic, financial services, Kasie,
Bila kumsahau kijumbe MamaSamia2025