Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
Hata hawavutii. kwani mkuu ulila kinyama chako ukiwa umekaa juu ya jiwe au juu ya sofa, kwani kutakua kuna tofauti ya ladha?
kuna wazee wawili wa mjengoni wanaweza kukupm uwapelekee.View attachment 163299tunaendelaaa
mmhh ila watoto wamarangu weupe peee kama wadhungu tatizo wanajiskia sana miss chagga upo ivyoo