Haya bana
Mbona umekubali kirahisi kama ivo?
Mbona umekubali kirahisi kama ivo?
miss chagga mi simu yangu haionyeshi kitu nimeona matunda ya apple tuu ndo maana namuluuliza utafiti kama huwa anatumia appleMr Rocky
umekuja kufanyaje huku kumbe unapenda haya ndo maana hata leo ujanisalimia aya bwana
naona upo upcountry MZEE coz town hakunaga wazeewakuu kama kawaida mzee wa weekends leo nijiweka humu
Duuuh! nimekubali, kweli Mungu fundi,:wave:
umboo la kibosho,machame,marangu au rombo miss chagga