Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,062
Ladies & Gentlemen naomba niwawish Happy Valentine day leo maana kesho sidhani kama ntapata nafasi ya kutoa wishes maana majukumu niliyo nayo yamenizidi hadi umri.
Happy Valentine Day
View attachment 83077
Copy: Filipo, Judgement , watu8 , Ndelejha Mamndenyi , Mr Rocky measkron , snowhite , Arushaone, Madame B Dr.zero Kipipi , Erickb52, Zion Daughter, Ismail N. Juma, Chimbuvu , Slave, noahism , cacico , gfsonwin , Dena Amsi Vin Diesel , BAK Mentor , Evelyn Salt , C6 ,amu , Arabela , Paw , Bishanga, charminglady , nitonye sweetlady, mkiva , kyanaKyoMuhaya PakaJimmy, Mungi , Mwanyasi , Chilli [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=51902"
Mmwah! Same to you!
Ahsante sana Mkwe.. Mwanao nitamtunza na kumthamini, atakuwa ni sehemu ya mwili wangu. Lazma awe salama... Valentine nilisherekea kwa kufurah pamoja na ndugu, jamaa, majirani na marafiki..Mkwe wewe ni mkwe wa ukweli unajua vitu vizuri kama hivi, asante sana I hope utamtunza my baby Ulikulaje Valentine?
Ahsante sana Mkwe.. Mwanao nitamtunza na kumthamini, atakuwa ni sehemu ya mwili wangu. Lazma awe salama... Valentine nilisherekea kwa kufurah pamoja na ndugu, jamaa, majirani na marafiki..
asante mkwe,
take care yourself.