Happy new year and happy birthday (jiwe)

Happy new year and happy birthday (jiwe)

JiweLinaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
3,737
Reaction score
2,139
Wasalaam wana JF.
Kwanza napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijalia mimi, familia yangu, ndugu, jamaa, marafiki na wana JF kwa ujumla afya njema na nguvu ya kuuona mwaka 2013,

Ni wengi wangependa kujumuika nasi lakini kwa njia moja au nyingine ya ajali,maradhi na mengineyo yamewatanguliza mbele ya haki baadhi ya wapendwa wetu tuwaombee wapumzike kwa amani.

Pili nafurahi kila tarehe 1 mwezi wa 1 nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa.
Kwa imani kubwa niliyonayo masaa machahe yajayo ntakuwa nasheherekea miaka..... ya kuzaliwa, ahhh nimesahau ngoja nimuulize mama

Ni mengi yametokea ya kufurahisha na kuhuzunisha lakini kwa Nguvu zake Mola amenijalia kufika hapa nilipo, Jina lake lihimidiwe.

Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia Heri ya Mwaka Mpywa 2013, wenye amani,furaha na mafanikio tele.

Tuendelee kushikamana, kushirikiana kusaidiana kwenye furaha na huzuni kama ilivyokuwa 2012.

HAPPY NEW YEAR 2013, AND HAPPY BIRTHDAY JIWE




 
Happy-Birthday.gif
 
Sijui nilikuwa wapi sikumuona stone alipokuwa ana-laid corners-tone! Sijilaumu sana kwani mtoto mwenyewe kaweka bandiko hili kiaina kwenye heading na muda wenyewe ni baada ya saa 8 mchana! Hivyo vikwazo havinizuilii kuitimiza azma hii: H.B. Jiwe!!!!
 
mmmmh!
hongera sana na heri ya mwaka mpya. haya kesho dompo wapi?? halaf kwann hupokei sm??

mbona waguna, asante na pia heri ya mwaka mpya, mtoto alikuwa anacheza hajasikia siimu ikiita si unajua raha ya katuni kelele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom