JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
- Thread starter
- #21
Happy birthday swiirie...me love you..
thanks my love, me too, happy new year baby girl
mtoto anataka mathiwa
Happy birthday swiirie...me love you..
Sijui nilikuwa wapi sikumuona stone alipokuwa ana-laid corners-tone! Sijilaumu sana kwani mtoto mwenyewe kaweka bandiko hili kiaina kwenye heading na muda wenyewe ni baada ya saa 8 mchana! Hivyo vikwazo havinizuilii kuitimiza azma hii: H.B. Jiwe!!!!
thanks my love, me too, happy new year baby girl
mtoto anataka mathiwa
Mokolo na mbotama malamu
Ha ha..ngoja nikakununulie lactogen...
aahhh mi natumia pro..mills ya S 26 au mathiwa ya mbuthi
Sasa itakuwaje baba na mimi sio mfugaji..
hahhahaha lete hayo ya unga nianze kulamba lakini yasiwe ya mchina