Happy New Year 2010 Wazalendo wote

Happy New Year 2010 Wazalendo wote

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,926
Kama kawaida narusha salaam kwa wazalendo wote wa hapa JF . Nasema wazalendo nikiwa na maana ya wale walip changia kwa nia na mwelekeo wa kulitakia mema Taifa langu tajiri kwa mali lakini ni masikini kwa maneno na kulazimishwa kuwa masikini .

Narudia tena kwamab Wazalendo wote A Very HAPPY NEW YEAR 2010
Mapambano hakikisha tunafanya mageuzi makubwa Bungeni baada ya Uchaguzi ujao .
 
Kama kawaida narusha salaam kwa wazalendo wote wa hapa JF . Nasema wazalendo nikiwa na maana ya wale walip changia kwa nia na mwelekeo wa kulitakia mema Taifa langu tajiri kwa mali lakini ni masikini kwa maneno na kulazimishwa kuwa masikini .

Narudia tena kwamab Wazalendo wote A Very HAPPY NEW YEAR 2010
Mapambano hakikisha tunafanya mageuzi makubwa Bungeni baada ya Uchaguzi ujao .

You too We hope 2010 inaweza kuwa mwaka wa mabadiliko atokee mwanasiasa aseme naye analeta change from being wafuasi wa mafisadi kuwa wafuasi wa mapinduzi. Tuiombee mungu nchi yetu adhimu ya Tanzania.
 
wapendwa watanzania wenzangu pamoja na watu wote duniani wacha mungu, ninawatakieni heri ya mwaka mpya 2010.

Mwenyezi mungu awalinde, awape afya na mema mengi na awakinge na hila za yule mwovu shetani. Amen.
 
NDUGU WAPENDWA KATIKA MAMBO AMBAYO MUNGU ANAFURAHI NAYO NI SWALA LA SHUKRANI,..HIVYO SI MBAYA UKAELEKEA MKESHA KUMSHUKURU MUNGU KWA YOTE MEMA ALIOTUTENDEA...WAPO WANAOHUZUNIKA LEO HII,WALIOHUKUMIWA VIFUNGO LEO HII MAHAKAMANI,WAPO WANAOTAFUTWA KWA WIZI WA MAOFISINI WAKIBANDIKWA PICHA KILA SEHEMU WEWE AUPO.JIULIZEE UMEMFANYIA NINI MUNGU AKUWEKE MPAKA LEO HII,JE NI FEDHA ULIYO NAYO,KAMA NI FEDHA MBONA MAFISADI WANAKUFA NAO,JE NINI??NI NEEMA YA BWAANA YATOSHA...BWANA ANAKUACHA UENDELEE AKIWA NA MAKUSUDI NA WEWE UANGALIE WAPI ULIPOKOSEA NA NI WAPI UNATAKIWA KUBADILIKA ILI KUWEZA KUONA UFALME WA MBINGUNI,...MUNGU AANATUPENDA WANA JF..SI ELIMU YAKO INAYOKUWEZESHA KUUONA 2010,..BALI NI NEEME YA BWANA

MWISHO NAPENDA KUWAPA POLE WALE WOTE WALIOFIWA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA MWAKA 2009,MUNGU AKAWAHIFADHI AKAWAPE MOYO WA UVUMILIVU,,,2010 UKISOMA KWENYE BIBLIA NI MWAKA MGUMU MWAKA HATARI.SIKUTISHI ILA UKWELI NI HUO..ILI UPENYE UNAITAJI KUWA NA NGUVU ZA UNABII.SWA NA 2WARAKA WA PETROL 1:19...TUNALO NENO LA UNABII..UKIWA NA UNABII UNAKUWA NA NGUVU ZA KUPENYA KUMSHINDA SHETANI...PIA UNAITAJI KUJUA NYAKATI ZA MAISHA YAKO,..NYAKATI ZINAKUSAIDIA WEWE KUJUA WAPI UNAELEKEA NINI UNATAKIWA KUFANYA


HIVYO NI VEMa tukiwa tunaenda 2010 jua unaenda kufanya nini..nini ambacho mungu akuweka duniani kwa ajili yake...

nawatakia kila la kheri na mwaka mpya
 
May this New Year 2010 bring many opportunities your way, to explore every joy of life and may your resolutions for the days ahead stay firm, turning all your dreams into reality and all your efforts into great achievements.
 
Hivi ni wapi katika vitabu vya dini hizi kuu panaposema siku au Mwaka unaanza saa sita usiku.

Waislam tumeelekezwa bayana kabisa kuwa siku inaanza pale jua linapozama yaani Maghrib.

Sijui wenzetu kukoje huko?
 
Waislam tumeelekezwa bayana kabisa kuwa siku inaanza pale jua linapozama yaani Maghrib.
Swadakta Dr!
sisi pia tulibadilisha mwaka wiki chache zilizopita, nilisahau kukupa shukrani kwa yale uliyoyafanya katika mwaka wa kiislamu uliopita, nakumbuka sana msaada wako wa tende ulizozipeleka Bagamoyo (au sehemu fulani hivi) wakati wa mwezi wa Ramadhaan.
 

Fill ur life with Happiness & Bright Cheer,
Bring to u Joy and Prosperity for the whole Year,
And its my New Year wish 4u Dear.
Wish u a VERY HAPPY NEW YEAR.

************ ********* ********* ********* *

2010 is at the door
Remember
Life is short, break the rules,
Forgive quickly,
love truly,
laugh uncontrollably,
and
never regret anything that made you smile.

************ ********* ********* ********* *

Before the golden sun sets,
2009's calender is destroyed,
And mobile networks get jammed,
I wish in 2010 every moment is enjoyed

************ ********* ********* ********* *

Before 2009 ends.
Let me thanks all the people like you.
Who made 2009 beautiful for me.
I pray you be blessed with fruitful year ahead.
Happy New Year 2010

************ ********* ********* ********* *

On the onset of new year
sending you the warmest of wishes.
Be always at war with your vices,
at peace with your neighbors
and let each new year
find you a better man.

************ ********* ********* ********* *

Year's end is neither an end
nor a beginning
but a going on,
with all the wisdom
that experience
can instill in us.
Happy New Year

************ ********* ********* ********* *

New Year begins, let us pray,
that it will be a year with new Peace,
New Happiness, and abundance of new friends,
God bless you through out the new Year.

************ ********* ********* ********* *

With all the Roses Perfume
& with all the lights in the world
& with all the childrens Smiles
I Wish U that ur all dreams comes True..
*HAPPY NEW YEAR 2010*
​
 
Back
Top Bottom