Happy mothers day..... Do we appreciate our mothers??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy mothers day..... Do we appreciate our mothers???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, May 8, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot]Tarehe ya leo (8/May) ni tarehe ambao ni siku ya akina mama duniani (si inchi zote) uhitimishwa. Mama amekua akisifiwa kwa malezi yake mazuri juu ya mwanae ikiaminika kua hufanya lolote lile bila kujali yeye personaly laweza kumdhuru namna gani. Ingawa inaonekana idadi ya akina mama wasiofaa katika jamii inakua; bado nafasi yake ni kubwa hivyo kutambulika na kukubalika. Nikitaka niorodheshe nafasi na vitu ambavyo mama zetu wamefanya juu yetu na ambavyo pengine ni vigumu kwa yoyote kukufanyia, nitachukua siku nzima.[/FONT]

  [FONT=&quot]Bahati nzuri ni wengi ambao wamejaliwa kulelewa na mama zao na kupata experience za utamu wa mapenzi ya mama directly. Kuna wale ambao hawajajaliwa kulelewa na mama yao kwa sababu nyingi na tofauti hivyo kukosa hiyo bahati ya kupata Mapenzi ya mama moja kwa moja (my heart goes to all who have never met their mothers or lost them too young).[/FONT]

  [FONT=&quot]Hivyo basi kwa kutimiza na kuhitimisha siku hii kubwa ya MOTHERS DAY naomba tuendelee kukubushana marafiki, ndugu na jamaa kua tuna haki ya kuwapongeza all the mothers popote walipo. Kupongeza si lazima awe mama yako tu mpongeze mama yoyote Yule ambae yuko responsible kwa watoto wake for The idea of celebrating Mother's Day the world over is to pay tribute to mothers for all their love and support and to make them feel special.[/FONT]

  [FONT=&quot]Kwa JF members woote ambao ni MOTHERS, najua kua kweli ni kazi ngumu mno kua a good MOM mkitegemea sana kulea kwa kutumia instincts; kikubwa inatakiwa ujue if you are trying your level best on your kid, then you are a good MOM[/FONT]

  [FONT=&quot]I dedicate the song “A Song for Mama by Boyz II Men” to all the MAMA’S out there……[/FONT]

  [FONT=&quot]N;B Leo ndo ile nafasi ya kusema siku zote uko busy, walau mtembelee, una uwezo mnunulie zawadi, umeshindwa mpigie simu na umwambie kua unampenda and you are proud of her....
  [/FONT]
   
 2. e

  ejogo JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Happy mothers day! Akina mama wote mbarikiwe!
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,057
  Trophy Points: 280
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Asante Ejogo, For those fortunate kua akina mama... we are proud...
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  BAK naona umeamua uletuletee kabisa..... Nice ..... Thank you....
   
 6. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahsante mamaa AshaD, lovely
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Thank you BB, glad you like it... Am so proud you are back to your normal self (Avatar)....LOL
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Happy mothers day...
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Thanks love.... I hope you choose two ladies you know leo and just tell them. "You are a good Mom"
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Nakupenda sana Mama! Sina cha kukulipa kitakachozidi neno 'asante'!

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  SMU well said.. I Bet your mom is proud of you...
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Unajua Asha, tulipokuwa wadogo sometimes tulikuwa tukiwatendea mama zetu visivyo...lakini baada ya kukuwa na pengine kama tumejaaliwa watoto, tunaanza kuona uzito na umuhimu wa mama na machungu anayopitia kuhakikisha ustawi wa wanae!
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ni wachache saana ambao wana appreciate hilo. yaani katika mwanadamu ambae kachukuliwa for granted ni mama, Najua nivigumu siku zote kumwambia mama nakupenda, au kumnunulia zawadi etc. Hivyo naamini saana kua siku kama ya leo inakupa nafasi hio - imagine unaenda kwa mama yako na unamwambia; "Mom nataka ujue namshukuru Mungu wewe ni mama yangu na asante kwa kunikuza..."
   
 14. N

  Nancy70 Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks Ejogo and all wana JF, we promise to be good moms forever..!!
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Im very proud to be a mother, thanx Asha happy Mother's day
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  N70 all the best dear... the above in red i know deeply that it is a guarantee.... Wish you luck with your child(ren)
   
 17. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,075
  Trophy Points: 280
  Nampenda sana mama angu...she rlly touches ma heart,Mungu awabariki akina mama wote wenye kujitambua na kutimiza wajibu wao wa u-mama,be blessed!!
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I dont know you but i do like you.... I can not imagine the extent of the love from your child (ren)... Viva forever all the Mothers...
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Thank you....
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hahahaha hahahaha hey Asha, I just got this massage from my son "Having to call you my mom is the sweetest feeling ever.. i hate it when you yell at me, scold or even hit me.. but its all because you want me to be a good boy!!! Am lucky havin you in my life.. I will treassure you 4rever!! love youuuuuuu n HAPPY MOTHER'S DAY!!!!!!!!!!!......" Umeona eee najisikia raha ajabu
   
Loading...