nakumbuka ndo ilikuwa Avatar yangu ya kwanza
View attachment 49324
Kama unafikiri hizo ndo hesabu, ngoja nikuonyeshe umahiri wa hisabati wa ODM...Uwiii
Hapo ndo hesabu hukimbiza watu
Graph kama hii hutisha bana
Ila yana raha yake
Hasa yanapokuwa yanaenda
Mie nililipenda sana hili somo lol
Thus.. by mathematical deduction....
Right now, the father is on top of the mother:shut-mouth::cheer2::shut-mouth:... hahahahahaha!!! Got You?
Kama kawaida, wasiojua hesabu watabisha na wengine watabaki wametoa mimacho.
Good Day my fellow mathematicians!
Ushacheki na Superman?Ha ha ha ha, you must be out of your mind ODM.
Nimecheka kwa loud speaker lol
Ushacheki na Superman?
Hicho kicheko kinafaa kushushiwa na Tusker Malt bana....
Cha kufanya kikiwa na mwongozo wa Tusker Malt ndo kinanoga nawe.... Hesabu zinakupiga chenga au?:violin:Superman namuona mawinguni tu
Hataki kushuka, naona kaenda kukaba wafadhili.
Akija tu nakushtua!
Au tukutane tu hivyo hivyo
Nikifika hapo, hatutakosa cha kufanya.
Cha kufanya kikiwa na mwongozo wa Tusker Malt ndo kinanoga nawe.... Hesabu zinakupiga chenga au?:violin:
Hapo kwenye bold ndo maana Kongosho akawa asali ya ODM....Unajua hizi hesabu za kuongeza kwa kichwani sikuzipitia
Nilianzia fomu wani.
Ngoja nifanye tukio hapa nilipo
Naweza pata chochote, tukapata kianzio cha Tusker Malt
Felo tabulet atakuja kutuongezea.
Warning: Hakuna kuibiana bunduki zetu na pete
Nitatumia 'door theory'
Sasa warning hiyo tena ya nini? Hatutaibiana je kubadilishana nako haifai?
Angalizo: Ntakuwa na kale kakaptula kangu ka enzi zetu zile, nawe usisahau kale kadude kako ka zambarau.