HAPPY Kavu Kavu Day!!

Na sie wa FINYANGO kwa FINYANGO siku tunaadhimisha lini?
 
condomu ni dhambi
sitokaa nitumie
 
Hee, sister FirstLady1 kumbe ulikuwa huna habari?

Huku SIKONGE hatutumii siku nyingi hizi SemkondoM.

Namshangaa Boflo na ujanja wake wote bado anatumia hiyo Mipira.

Sasa hivi Fasion ni SKYN, Naturalamb. Yes, you are wearing nothing (ALMOST)......


Boflo, njoo huku kwa wenzako. Mtafute wako na muaminiane (bila kujali ni SHE or HE). Achana na minuso ya kwenye jumba la Mbezi Beach. Ukizidiwa sana na uaminifu ukushinde, mambo ni SKYN.
hao uliowataja ndo hawatumii protection ?
Kuna haja ya kwenda kuwapima my brother Sikonge ...hebu nambie ya kweli hayo?
 
Last edited by a moderator:
Wantaka condom yenye kunukia harufu ya Mbilimbi au tufaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…