Happy Islami New Year 1431 Hijiriyah

Happy Islami New Year 1431 Hijiriyah

Swali la Mkuu BUCHANAN limeende shule, huwezi kujibu wakati unatumia Koran iliyo jaa shaka! Ndio maana umebakia na maneno matupu, eti hatuna hoja. lol.

Wewe jibu swali kama unaweza, kama huwe waachie wengine waje kujaribu kunywa juisi ya pilipili.

swali limeshajibiwa!
 
Kilakitu chenu nyie kiko nyuma tu...Mwaka wenu nyuma...Maandishi ya kitabu chenu nyumanyuma...In short its a total confusion!...By ze way, happy nyu yia!

Rafiki yangu PakaJimmy hakuna kila kitu cha Waislam kuwa kipo nyuma ukae ukijuwa kama alivyosema Mkuu Mshirazi Tarehe na kalenda ya Dini ya kiislam imeanzia wakati huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD ndipo kalenda ya kiislam ilipoanza sio kila kitu kuwa nyuma Kuna Tofauti kati ua Uislam na Ukristo kwa kila kitu Dini na ibada zake hizo dini ni tofauti sana sasa usiseme kila kitu kiko nyuma soma ndipo upate kuelewa Rafiki yangu Mkuu PakaJimmy usiwe kama Walokole Akina MaxShimba na wenzake akina Buchanan wao wanashikilia kumtukana Mwenyezi Mungu na Mtume wake Muhammad swala llahu alaye wasalaam Soma ndipo upate kuelewa Dini ya kiislam ipo wazi kwa swali lolte lile uliza utajibiwa hakuna kitu cha kuficha katika ukweli upo na mimi Mkuu wangu PakaJimmy?
 
MziziMkavu, mimi sithubutu kumtukana Mwenye Ee Mungu. Kamwa sita fanya hilo, na naomba Mungu anipitishia mbali kufuru ya aina yeyote ile.

Inshallah tutafika muda tu wakuelewana ki deen. Mambo ya deen yanahita shule vile vile. Ndio maana khutba za deen zinakuwa kama misumari ya moto.

Mimi nashangaa kwanini Mwenye Ez Mungu ghafla amekuwa na Mtume mmoja tu wakti walikuwepo wengi tokea dunia hii iumbwe. Je, huyu mungu wenu si anaonyesha upendeleo?

Mwisho ndugu yangu, naomba utafakari kiundani sana kuhusu Muham-mad, maana mengi aliyo fanya yanatia hofu moyoni na hurma ndani ya roho na kusikitisha akili.

Njoo kwenye njia pekee ambayo ni Yesu Kristo, huku kuna uhakika wa maisha baada ya kifo.

Yesu anakupenda mkuu, so do I.
 
Mtume Mohammad S A W ametuachia vitu viwili tu navyo ni Quran Na Hadithi ( yaani matendo yake).

Ukirejea kwenye Quran miaka yote imebainishwa kutokana na matukio. Mfano kuna Amma lfili yaani mwaka wa Tembo n.k.

Nikija kwenye hili suala lako ,mwaka huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD .

Sasa hili ni tukio na limewekwa katika kumbukumbu na sisi waislam kwa vile tumeamrishwa kutunza na kuweka kumbukumbu ndio maana tunahesabu tokea hapo.
nafikiri nimekithi suala lako.

Max na wenzako nawatakia happy Islamic New Year

JUST A MINUTE MKULU. Unamaanisha mwaka wa kiisilam unahesabiwa kuanzia 6julai 622 siku mhamadi alipohamia Madina? Kama ni hivyo basi inamaanisha Muhamad hakuzaliwa mtume ila alipewa utume aliposilimu. Basi itasikika vizuri zaidi kusema huu ni mwaka 1431 tangu mtu wa kwanza kuwa mwislamu yaani kuslimu.
 
MziziMkavu, mimi sithubutu kumtukana Mwenye Ee Mungu. Kamwa sita fanya hilo, na naomba Mungu anipitishia mbali kufuru ya aina yeyote ile.

Inshallah tutafika muda tu wakuelewana ki deen. Mambo ya deen yanahita shule vile vile. Ndio maana khutba za deen zinakuwa kama misumari ya moto.

Mimi nashangaa kwanini Mwenye Ez Mungu ghafla amekuwa na Mtume mmoja tu wakti walikuwepo wengi tokea dunia hii iumbwe. Je, huyu mungu wenu si anaonyesha upendeleo?

Mwisho ndugu yangu, naomba utafakari kiundani sana kuhusu Muham-mad, maana mengi aliyo fanya yanatia hofu moyoni na hurma ndani ya roho na kusikitisha akili.

Njoo kwenye njia pekee ambayo ni Yesu Kristo, huku kuna uhakika wa maisha baada ya kifo.

Yesu anakupenda mkuu, so do I.

MaxShimba kuna kitu unakikimbia kila pahala. Hebu tuambie hilo Neno Kristo limetokea wapi. Je Yesu mwenyewe anajua kuwa yeye ni Kristo.
Mimi ninavyojua ni hivi na kama nimepotoka nifahamishe na uniwekee andiko la kusapoti porojo zako.

Jina Christian limetajwa mara 3 tu katika Agano Jipya na kwa mara ya kwanza walikuwa ni wapagani na Mayahudi huko Antioch mwaka 43 Ad, hii ni muda mrefu baada ya Jesus kuondoka ardhini
Acts 11:26: "... And the disciples were called Christians first in Antioch."
Baadaye Agripa II to Paul in Acts 26:28: "Then Agrippa said unto Paul" Almost thou persuades" me to be a Christian.' '

Kwahiyo jina la Christian mmepewa na madui kwanza sio marafiki wenu
 
JUST A MINUTE MKULU. Unamaanisha mwaka wa kiisilam unahesabiwa kuanzia 6julai 622 siku mhamadi alipohamia Madina? Kama ni hivyo basi inamaanisha Muhamad hakuzaliwa mtume ila alipewa utume aliposilimu. Basi itasikika vizuri zaidi kusema huu ni mwaka 1431 tangu mtu wa kwanza kuwa mwislamu yaani kuslimu.
.

Soma mada vizuri sana utaelewa. Tumeeleza mwaka wa kiislamu umeanza kuesabiwa taarih 6 July 622 siku Mtume Mohammad na Maswahaba zake waliapohama kwenye mji wa Makkah kwenda madina.

nakuomba ujue kuwa Mtume alipewa Utume akiwa na miaka 40 akiwa Makkah. Hivyo taarih hiyo sio siku ya muislam wa kwanza kuanza kusilimu.
 
Wakristo wanakubali kuwa ukristo ulianzia kwa Yesu kristo kuzaliwa duniani maana masihi ni kristo kwa lugha ya kiyunani au twawezasema mpakwa mafuta kwa kiswahili(DANIEL 9:25). Kiyunani kinasikika zaidi kwa sababu agano jipya limeandikwa kwa lugha hiyo. Ndio wanakubali mwaka huu ni wa 2009 BK tofauti na waislamu wanasema uislamu ni toka Adamu bali mwaka wa kiisilam unaonekana ni 1431 kwa sasa. Mbona basi kuitwa mwaka wa kiisilamu wakati uislamu ni toka Adamu? Na je toka Adamu hadi wa leo kuna miaka mingapi?
 
Dr Barubaru amesherehesha lakini mimi napenda nikwambie huwezi hata kidogo kufananisha UISLAMU na UKRISTO.

1.Fahamu kuwa UISLAMU NI DINI na UKRISTO SI DINI ( Refer kwenye maandiko ya Bible , hakuna sehemu inayosema Ukristo ni dini.

Dr Hamza hapa kakuuliza hivi
MaxShimba kuna kitu unakikimbia kila pahala. Hebu tuambie hilo Neno Kristo limetokea wapi. Je Yesu mwenyewe anajua kuwa yeye ni Kristo.
Mimi ninavyojua ni hivi na kama nimepotoka nifahamishe na uniwekee andiko la kusapoti porojo zako.

Jina Christian limetajwa mara 3 tu katika Agano Jipya na kwa mara ya kwanza walikuwa ni wapagani na Mayahudi huko Antioch mwaka 43 Ad, hii ni muda mrefu baada ya Jesus kuondoka ardhini
Acts 11:26: "... And the disciples were called Christians first in Antioch."
Baadaye Agripa II to Paul in Acts 26:28: "Then Agrippa said unto Paul" Almost thou persuades" me to be a Christian.' '

Kwa kuongeza ni kuwa Antioch ipo Ugiriki ndipo lilipotokea hili jina la Kristo. sasa vipi kule Yesu alipokuwa amezaliwa Yerusalem wafuasi wake walikuwa wanaitwaje?

Kwa kumaliza hizo ni historia na sisi waislam tumeamua kuihesabu na kuanzia hapo kuhesabu miaka yetu kama vile wewe unapozaliwa unaanza kuhesabu umri wako pale na wengine pale wanapooana ndipo wanapoanza hesabu miaka yao ya ndoa.

kifupi kila kumbukumbu lzima iwe na reference nasi waislam ndio reference yetu toka Mtume wetu alipoamua kuama makkah kwenda madina.
 
Hakuna haja ya kujisumbua na jambo dogo kama hili wala haihitaji shule shule kufahamu kuwa wanafunzi au wafuasi wa mtu fulani hasa alie maarufu huitwa kwa jina lake. Wala hakuna ubishi kwamba yesu ni masihi na ikiwa amewaamrisha wale tenashara(12) kuwafanya watu kuwa wanafunzi wake wataitwa je? Wa-yesu au wa-masihi. Na Yesu mwenyewe aliwahi waambia wanafunzi wake kuwa atakuwa ana thawabu mtu atakaewapa ng'aa kikombe cha maji kwa sababu tu ninyi ni wa masihi. Nafikiri unasumbuka kwa sababu ya badiliko la lugha Masihi-kristo. Kwani uislamu kwa lugha yetu ya kiswahili ni nini? Kuna ushahidi wa kuwepo uislamu kabla ya mhamadi? Na uislamu wao waweza kuuonyesha?
 
Kwa kuongeza ni kuwa Antioch ipo Ugiriki ndipo lilipotokea hili jina la Kristo. sasa vipi kule Yesu alipokuwa amezaliwa Yerusalem wafuasi wake walikuwa wanaitwaje?
Seriously, Wakristo tafadhalini tunataka jibu au kubalini kuwa hakuna dini inayoitwa Christianity.
 
Wameingia mitini lakini tuwape Muda wa kutengeneza porojo.
 
Seriously, Wakristo tafadhalini tunataka jibu au kubalini kuwa hakuna dini inayoitwa Christianity.

Jesus is CHRIST. Anyone who follows him is called a CHRISTian. Hence we are CHRISTians who follow CHRISTianity. Is this simple enough for you and your fellow Muhamad followers to comprehend?
 
Wapi amejiita Christ?!
 
Wapi amejiita Christ?!

Sikiliza Allah wako anasemaje na kukujibu wewe usie juwa Koran.

O People of the Book! Commit no excesses in your religion: Nor say of Allah aught but the truth. Christ Jesus the son of Mary was (no more than) a messenger of Allah and His Word, which He bestowed on Mary, and a spirit proceeding from Him

They take their priests and their anchorites to be their lords in derogation of Allah, and (they take as their Lord) Christ the son of Mary; yet they were commanded to worship but One Allah

Qur'an 9:31 They have taken their doctors of law and their monks for lords besides Allah, and (also) the Messiah son of Marium

Haya sasa, pingana na pigana na Allah wako. Maana ninyi wafuasi wa Koran huwa ni watupu kweli kweli.
 
Sikiliza Allah wako anasemaje na kukujibu wewe usie juwa Koran.

O People of the Book! Commit no excesses in your religion: Nor say of Allah aught but the truth. Christ Jesus the son of Mary was (no more than) a messenger of Allah and His Word, which He bestowed on Mary, and a spirit proceeding from Him

They take their priests and their anchorites to be their lords in derogation of Allah, and (they take as their Lord) Christ the son of Mary; yet they were commanded to worship but One Allah

Qur’an 9:31 They have taken their doctors of law and their monks for lords besides Allah, and (also) the Messiah son of Marium

Jaribu kumona daktari, tunachotaka kujua hapa ni jina Christ!
 
MaxShimba acha ujanja ujanja huo. Tuonyeshe kwenye Bible Yesu aliposema kuwa mimi ni Christ?
 
Sikiliza Allah wako anasemaje na kukujibu wewe usie juwa Koran.

O People of the Book! Commit no excesses in your religion: Nor say of Allah aught but the truth. Christ Jesus the son of Mary was (no more than) a messenger of Allah and His Word, which He bestowed on Mary, and a spirit proceeding from Him

They take their priests and their anchorites to be their lords in derogation of Allah, and (they take as their Lord) Christ the son of Mary; yet they were commanded to worship but One Allah

Qur’an 9:31 They have taken their doctors of law and their monks for lords besides Allah, and (also) the Messiah son of Marium

Haya sasa, pingana na pigana na Allah wako. Maana ninyi wafuasi wa Koran huwa ni watupu kweli kweli.

Mkuu huko juu sana wanapenda ligi ya ubishani lakini wanajua ukweli uko wapi watu wanompiga mawe shetani unadhani wana akili nzuri
.
 
Mkuu huko juu sana wanapenda ligi ya ubishani lakini wanajua ukweli uko wapi watu wanompiga mawe shetani unadhani wana akili nzuri.
Nini shetani, Kapigwa na kusulubiwa vibaya sana Yesu ni kristo?
 
Back
Top Bottom