MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
MaxShimba acha ujanja ujanja huo. Tuonyeshe kwenye Bible Yesu aliposema kuwa mimi ni Christ?
Sasa wewe ni nani wa kumkana Allah wako? Kama Allah wako anamwita Yesu CHRIST wewe ni nani kupinga?
Hivi kweli mnafuta vitab vyenu vya deen?