Happy Islami New Year 1431 Hijiriyah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy Islami New Year 1431 Hijiriyah

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barubaru, Dec 18, 2009.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nawatakia kila la kheir na mafanikio mema katika Mwaka huu mpya wa Kiislam 1431 Hijiriyah.

  Hakika ni vizuri wote kuangalia nini tumekifanya mwaka uliopita 1430 na nini tunakusudia kufanya mwaka mpya 1431 Hijiriyah.

  Nawausia pamoja na kuiusia nafsi yangu katika kuzidi kumcha na kumpwekesha Mwenyezi Mungu mola wa viumbe wote aliyeumba vyote vilivyomo Ardhini na mbinguni na baina yake.

  Happy Islami New year.

  Hapa Qatar umeanza utaaanza 18 Dec.
  [SIZE=-1]December[/SIZE]
  [SIZE=-1]Dhul-Hijjah/Muharram 1431 [/SIZE]
  [SIZE=-1]S[/SIZE][SIZE=-1]M[/SIZE][SIZE=-1]T[/SIZE][SIZE=-1]W[/SIZE][SIZE=-1]T[/SIZE][SIZE=-1]F[/SIZE][SIZE=-1]S[/SIZE][SIZE=-1]1[/SIZE]
  [SIZE=-1]14[/SIZE][SIZE=-1]2[/SIZE]
  [SIZE=-1]15[/SIZE][SIZE=-1]3[/SIZE]
  [SIZE=-1]16[/SIZE][SIZE=-1]4[/SIZE]
  [SIZE=-1]17[/SIZE][SIZE=-1]5[/SIZE]
  [SIZE=-1]18[/SIZE][SIZE=-1]6[/SIZE]
  [SIZE=-1]19[/SIZE][SIZE=-1]7[/SIZE]
  [SIZE=-1]20[/SIZE][SIZE=-1]8[/SIZE]
  [SIZE=-1]21[/SIZE][SIZE=-1]9[/SIZE]
  [SIZE=-1]22[/SIZE][SIZE=-1]10[/SIZE]
  [SIZE=-1]23[/SIZE][SIZE=-1]11[/SIZE]
  [SIZE=-1]24[/SIZE][SIZE=-1]12[/SIZE]
  [SIZE=-1]25[/SIZE][SIZE=-1]13[/SIZE]
  [SIZE=-1]26[/SIZE][SIZE=-1]14[/SIZE]
  [SIZE=-1]27[/SIZE][SIZE=-1]15[/SIZE]
  [SIZE=-1]28[/SIZE][SIZE=-1]16[/SIZE]
  [SIZE=-1]29[/SIZE][SIZE=-1]17[/SIZE]
  [SIZE=-1]30[/SIZE][SIZE=-1]18[/SIZE]
  [SIZE=-1]MH[/SIZE][SIZE=-1]19[/SIZE]
  [SIZE=-1]2[/SIZE][SIZE=-1]20[/SIZE]
  [SIZE=-1]3[/SIZE][SIZE=-1]21[/SIZE]
  [SIZE=-1]4[/SIZE][SIZE=-1]22[/SIZE]
  [SIZE=-1]5[/SIZE][SIZE=-1]23[/SIZE]
  [SIZE=-1]6[/SIZE][SIZE=-1]24[/SIZE]
  [SIZE=-1]7[/SIZE][SIZE=-1]25[/SIZE]
  [SIZE=-1]8[/SIZE][SIZE=-1]26[/SIZE]
  [SIZE=-1]9[/SIZE][SIZE=-1]27[/SIZE]
  [SIZE=-1]10[/SIZE][SIZE=-1]28[/SIZE]
  [SIZE=-1]11[/SIZE][SIZE=-1]29[/SIZE]
  [SIZE=-1]12[/SIZE][SIZE=-1]30[/SIZE]
  [SIZE=-1]13[/SIZE][SIZE=-1]31[/SIZE]
  [SIZE=-1]14[/SIZE]
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Miezi ya Kiislam ni hii.

  The Islamic months are named as follows:[3]
  1. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Muharram"]Muharram[/ame] محرّم (or Muḥarram al Ḥaram)
  2. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Safar"]Safar[/ame] صفر (or Ṣafar al Muzaffar)
  3. Rabi' al-awwal (Rabī' I) ربيع الأول
  4. Rabi' al-thani (or Rabī' al Thānī, or Rabī' al-Akhir) (Rabī' II) ربيع الآخر أو ربيع الثاني
  5. Jumada al-awwal (Jumādā I) جمادى الاول
  6. Jumada al-thani (or Jumādā al-akhir) (Jumādā II) جمادى الآخر أو جمادى الثاني
  7. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Rajab"]Rajab[/ame] رجب (or Rajab al Murajab)
  8. Sha'aban شعبان (or Sha'abān al Moazam)
  9. Ramadan رمضان (or Ramzān, long form: Ramaḍān al Mubarak)
  10. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Shawwal"]Shawwal[/ame] شوّال (or Shawwal al Mukarram)
  11. Dhu al-Qi'dah ذو القعدة
  12. Dhu al-Hijjah ذو الحجة
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Kwa kuongezea ni kwamba hiyo 1431 inahesabiwa baada ya kuzaliwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu.
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Yesu wangu........hili nilikuwa silijui........ Barubaru naomba ufafanuzi juu ya hili kama una ufahamu nalo
   
 6. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapana,,mwaka huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
  Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kilakitu chenu nyie kiko nyuma tu...Mwaka wenu nyuma...Maandishi ya kitabu chenu nyumanyuma...In short its a total confusion!...By ze way, happy nyu yia!
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Dec 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hivi huu mwaka umetajwa kwenye aya ipi ya Quran ambayo ilidaiwa "kushushwa," na kama haujatajwa una uhalali upi (kama Quran yenyewe ni halali anyway)?
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu hili linaitwa swali lililo enda shule. Swadakta Mukulu.

  Waislam, tunasubiri majibu.
   
 10. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtume Mohammad S A W ametuachia vitu viwili tu navyo ni Quran Na Hadithi ( yaani matendo yake).

  Ukirejea kwenye Quran miaka yote imebainishwa kutokana na matukio. Mfano kuna Amma lfili yaani mwaka wa Tembo n.k.

  Nikija kwenye hili suala lako ,mwaka huo unahesabiwa baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na masahaba zake kuhama Makka na kuhamia Madinna.
  Siku hiyo (waliyohama) ilikua ni sawa na tarehe 16 Julai, 622 AD .


  Sasa hili ni tukio na limewekwa katika kumbukumbu na sisi waislam kwa vile tumeamrishwa kutunza na kuweka kumbukumbu ndio maana tunahesabu tokea hapo.
  nafikiri nimekithi suala lako.

  Max na wenzako nawatakia happy Islamic New Year
   
 11. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kuona mtu huyu hajui hata Unayemwita BWANA WAKO AMEZALIWA LINI.
  Askofu MAXSHIMBA msaidie huyu au ndio wale waliosemwa kuwa " Siye kila mtu asemaye Bwana Bwana ataingia kwenye ufalme wa Minguni, bali ....."

  Pole sana, Kwa kukupa msaada Bwana wako inasadikiwa amezaliwa miaka 2009 iliyopita. maelezo zaidi atakupa Askofu MaxS
   
 12. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Aamin yarabi Aamin.

  Tunawaombea waislam wote kutia nia ya kwenda hija mna Inshalllah Allah atawajaalia mwakni waende Hijja.

  Nawatakia mwaka mpya mwema
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAYA JAMANI!
  hepi new year!

  TUWAZOEA TU
   
 14. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2009
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Swadakta :)
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Swali dogo kwako, Mtume wako Marehemu Muham-mad, alizaliwa mwaka gani na kufa mwaka gani na kwasababu gani mnatumia hiyo miaka?
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Asante.

  Lakini tarehe ya 16 July 622 AD si ya Kikristo?
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  wagalatia wanapokosa hoja, huwa wanauliza maswali yasiyo ni kichwa wala miguu
   
 19. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Swali la Mkuu BUCHANAN limeende shule, huwezi kujibu wakati unatumia Koran iliyo jaa shaka! Ndio maana umebakia na maneno matupu, eti hatuna hoja. lol.

  Wewe jibu swali kama unaweza, kama huwe waachie wengine waje kujaribu kunywa juisi ya pilipili.
   
Loading...