Happy friday.

inaitwa pant remover, smirnoff black! lolest, naipenda pia! na we pia mamito!
 
Lonely so lonely.... nitakuwa nikiomba jioni ifike haraka nikaangalie mpira
 
Lonely so lonely.... nitakuwa nikiomba jioni ifike haraka nikaangalie mpira

ooh...pole sana.......mimi hapa namngoja sukari wangu wa moyo anipick twende kusubiria sensa.......aaah....am happy bunny tho..........
 
Mimi nishapanda kwa bed kweli friday iko poa. Huku Arachuga wameanza chinjachinja kitaani basi wacha niifiche shingo yangu mapema..... Happy friday people.
 
ooh...pole sana.......mimi hapa namngoja sukari wangu wa moyo anipick twende kusubiria sensa.......aaah....am happy bunny tho..........

asante! am happy to be back in the office, usha hesabiwa?
 
Back
Top Bottom