mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
Nawatakia siku njema. Tuendeleze libeneke la JF - Where We Dare to Talk Openly!.
Nawatakia siku njema. Tuendeleze libeneke la JF - Where We Dare to Talk Openly!.
El Presidente with family on Fathers Day outing!!!
ILA WABABA MJUE UBABA HAUKOMEI TU KWENYE KUWA SPERM DONNER ILA KWENYE MALEZI YA WATOTO WENU
wanawake wanafanya hivyo sababu yenu!mkome kuzikataa mimbaNa nyinyi mkome kutupa watoto majalalani...
wanawake wanafanya hivyo sababu yenu!mkome kuzikataa mimba
Baba yangu alinitenga nikiwa mdogo