Father's Day. Licha ya Baba kuwa kichwa cha Familia, bado nitamfuata Mama kwa ushauri

Hata wewe ukiwa baba watoto wako watakukwepa na kwenda kwa mama yao.

Wakija na pesa mama yao atapewa 500k, wewe mdingi utapewa 50k na bado mama yao atakuja akuombe matumizi

Umfanyiavyo baba Yako ndivyo utakavyotendewa na wewe
Hata ikitokea haitanisumbua sababu najua reasons behind.
 
Mimi baba ndiye jembe langu
Bila Mzee familia yetu ingekuwa ya hovyo sana. Nikiwa mdogo nilimsikia baba akizinguana na Maza juu ya malezi yetu Hadi akasema endelea na malezi ya mabinti zako Mimi niachie wa kiume. Ametupambania wa kiume wote wa4 tumekula shule 1st born PhD, tuliobaki vibachelor. Dada zangu moja alifarik ndoa za utotoni wakat anajifungua Drs la 7. Mwngine yupo bush la 7 ashazeeka na m1 form four failure.
 
200f41e8-9f6f-411c-b227-1e16d491ca8a.jpg

Faza dei
 
Mtoto ni wa mama.

Mimi BabaMorgan nikipata tatizo lolote nitakuwa comfortable zaidi kumface mama anipe ushauri kuliko baba.

Haimaanishi simuamini Baba lahasha ni vile tu bond yangu na mama ni kubwa.

Happy father's Day.
Hawa ndio Watoto wetu wa leo, na vile hakuna tena jando basi hii ni hasara tu kama hasara nyingine.

Mungu awasaidie tu mtakuwa na maisha Mabaya sana take my words.

Tunakokwenda ni heri ya kuwa na Watoto wa kike watakujali ukiishiwa nguvu kuliko kuwa na hasara kama hii.
 
UKISEMA NANI KAMA MAMA? BASI MKUMBUKE PIA BABA ALIYEKUCHAGULIA MAMA BORA
 
Hawa ndio Watoto wetu wa leo, na vile hakuna tena jando basi hii ni hasara tu kama hasara nyingine.

Mungu awasaidie tu mtakuwa na maisha Mabaya sana take my words.

Tunakokwenda ni heri ya kuwa na Watoto wa kike watakujali ukiishiwa nguvu kuliko kuwa na hasara kama hii.
Sawa mkuu mtazamo wako. Wazazi wote wameplay role kubwa. Majukumu ya mama yanafanya kumuelewa mtoto zaidi kuliko mzazi wa kiume ukiachana na ujauzito, kunyonyesha still mama ndiye anakuwa front kushuhudia stage zote za ukuaji za mtoto kama kutambaa, kusimama, kutembea na kuongea kwa kifupi mama knows alot kuhusiana na mtoto.

Nafikiri ushapata picha kushauriwa na mtu anayekujua vizuri kunavyokuwa
 
Kwa sasa ni bora kuwa na Watoto wa kike kuliko hiki kizazi chenu mliozaliwa bila nafsi.
 
Wacha tumpe na andiko ndugu yetu.

Wagalatia 6:7

"Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna."
 
Back
Top Bottom